Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • hb uku. 2
  • Damu Yaweza Kuokoaje Uhai Wako?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Damu Yaweza Kuokoaje Uhai Wako?
  • Damu Yaweza Kuokoaje Uhai Wako?
Damu Yaweza Kuokoaje Uhai Wako?
hb uku. 2

Damu Yaweza Kuokoaje Uhai Wako?

KILA siku watu wanakabili maamuzi ya kiadili juu ya afya: kupandikizwa viungo, utoaji mimba, “haki ya kufa.” Twatumaini wewe hutakabili kamwe matatizo hayo.

Hata hivyo, kuna suala moja linalodai uangalifu wako: Damu inaweza kutumiwaje kuokoa uhai?

Kukiwa na sababu nzuri, wengi sasa huuliza, ‘Utiaji-damu mishipani ni salama kadiri gani?’ Lakini hili ni zaidi ya suala la kitiba. Limefanya zitangazwe habari zinazohusu Mashahidi wa Yehova. Je! wewe umepata kutaka kujua kwa nini watu hawa wenye kufuata maadili, wanaoamini utibabu mzuri, hukataa kupokea damu?

Kama utakavyoona, pande za kitiba na za kiadili za kutumia damu zinahusu moja kwa moja jinsi wewe unavyoweza kuokoa mali yako iliyo ya thamani zaidi ya yote: UHAI.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Picha ya Jalada: Camerique/H. Armstrong Roberts

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki