Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yp2 kur. 56-57
  • Mabadiliko Ya Maisha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mabadiliko Ya Maisha
  • Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Habari Zinazolingana
  • Ninaweza Kukabilianaje na Kubalehe?
    Vijana Huuliza
  • Kwa Nini Mwili Wangu Unabadilika?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • ‘Kwani Nina Shida Gani?’
    Amkeni!—2004
  • Mwili Wangu Unapatwa na Nini?
    Amkeni!—1990
Pata Habari Zaidi
Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
yp2 kur. 56-57

SEHEMU 2

Mabadiliko Ya Maisha

Je, unaridhika na jinsi mwili wako unavyokua?

□ Ndiyo □ Hapana

Je, mabadiliko ya kipindi cha kubalehe yamekufanya uwe mpweke, uchanganyikiwe, au uwe mwoga?

□ Ndiyo □ Hapana

Je, nyakati zote wewe hufikiria kuhusu watu wa jinsia tofauti?

□ Ndiyo □ Hapana

Ikiwa umejibu “ndiyo” katika yoyote ya maswali yaliyo juu, usiwe na shaka​—hilo halimaanishi kwamba una kasoro yoyote! Ukweli ni kwamba, mabadiliko ya kimwili na kihisia wakati wa kubalehe yanaweza kukusisimua au kukuvunja moyo au kukufanya uwe na hisia nyinginezo. Bila shaka, kwa muda mrefu umetamani kuwa mtu mzima, lakini sasa kwa kuwa hatua za kuwa mtu mzima zimeanza, unaweza kuingiwa na woga! Sura ya 6-8 zitakusaidia kushughulika na mabadiliko ya maisha.

[Picha katika ukurasa wa 56, 57]

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki