Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ll seh. ya 6 kur. 14-15
  • Tunajifunza Nini Kutokana na Gharika Kubwa?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tunajifunza Nini Kutokana na Gharika Kubwa?
  • Msikilize Mungu Uishi Milele
  • Habari Zinazolingana
  • Sehemu ya 6
    Msikilize Mungu
  • Onyo la Wakati Uliopita
    Wewe Unaweza Kuwa Rafiki ya Mungu!
  • Gharika Kubwa​—Nani Alimsikiliza Mungu? Nani Hakumsikiliza?
    Msikilize Mungu Uishi Milele
  • Kwa Nini Noa Alipata Kibali cha Mungu—Je, Hilo Linatuhusu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Msikilize Mungu Uishi Milele
ll seh. ya 6 kur. 14-15

SEHEMU YA 6

Tunajifunza Nini Kutokana na Gharika Kubwa?

Mungu aliwaharibu waovu lakini akamwokoa Noa na familia yake. Mwanzo 7:11, 12, 23

Safina inaelea, watu waovu wanazama, malaika waasi wanaiacha miili yao ya kibinadamu

Mvua ilinyesha kwa siku 40 mchana na usiku, nayo maji yakaifunika dunia yote. Watu wote waovu wakafa.

Malaika waasi waliiacha miili yao ya kibinadamu nao wakawa roho waovu.

Noa, familia yake, na wanyama wanatoka ndani ya safina, upinde wa mvua unaonekana angani

Watu waliokuwa ndani ya safina waliokoka. Ingawa mwishowe Noa na familia yake walikufa, Mungu atawafufua ili waishi milele.

Mungu atawaharibu waovu tena na kuwaokoa watu wema. Mathayo 24:37-39

Shetani na roho wake waovu wanatumia njia mbalimbali kuwapotosha watu

Shetani na roho waovu wanaendelea kuwapotosha watu.

Leo, kama ilivyokuwa katika siku za Noa, watu wengi wanakataa mwongozo wenye upendo wa Yehova. Hivi karibuni, Yehova atawaharibu watu wote waovu.​—2 Petro 2:5, 6.

Mashahidi wa Yehova wanatumia Biblia kumhubiria mwanamume fulani; mwanamume huyo anasoma Biblia

Kuna watu walio kama Noa. Wanamsikiliza Mungu na kufanya mambo anayosema; watu hao ni Mashahidi wa Yehova.

  • Chagua barabara inayoongoza kwenye uzima.—Mathayo 7:13, 14.

  • Waovu wataharibiwa; wapole watafurahia amani.​—Zaburi 37:10, 11.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki