Yaliyomo
UKURASA SURA
SEHEMU YA 1—MATUKIO YANAYOONGOZA KWENYE HUDUMA YA YESU
10 1 Wapokea Ujumbe Kutoka kwa Mungu
12 2 Yesu Aheshimiwa Kabla Hajazaliwa
14 3 Yule Atakayetayarisha Njia Azaliwa
16 4 Maria—Ana Mimba Lakini Hajaolewa
18 5 Yesu Alizaliwa Wapi na Wakati Gani? 18
22 7 Wanajimu Wamtembelea Yesu
24 8 Wanaokoka Kutoka kwa Mtawala Mwovu
26 9 Maisha ya Utotoni Huko Nazareti
28 10 Familia ya Yesu Yasafiri Kwenda Yerusalemu
30 11 Yohana Mbatizaji Atayarisha Njia
SEHEMU YA 2—MWANZO WA HUDUMA YA YESU
36 13 Jifunze Kutokana na Jinsi Yesu Alivyokabiliana na Vishawishi
38 14 Yesu Aanza Kufanya Wanafunzi
40 15 Afanya Muujiza Wake wa Kwanza
42 16 Yesu Ana Bidii kwa Ajili ya Ibada ya Kweli
44 17 Amfundisha Nikodemo Usiku
46 18 Yesu Aongezeka Naye Yohana Apungua
48 19 Amfundisha Mwanamke Msamaria
SEHEMU YA 3—HUDUMA KUU YA YESU HUKO GALILAYA
54 20 Muujiza wa Pili Huko Kana
56 21 Katika Sinagogi Huko Nazareti
58 22 Wanafunzi Wanne Watakuwa Wavuvi wa Watu
60 23 Yesu Afanya Miujiza Huko Kapernaumu
62 24 Apanua Huduma Yake Huko Galilaya
64 25 Amponya Mtu Mwenye Ukoma kwa Huruma
66 26 “Umesamehewa Dhambi Zako”
70 28 Kwa Nini Wanafunzi wa Yesu Hawafungi?
72 29 Je, Mtu Anaweza Kufanya Mambo Mema Siku ya Sabato?
74 30 Uhusiano Kati ya Yesu na Baba Yake
76 31 Wakata Masuke ya Nafaka Siku ya Sabato
78 32 Ni Mambo Gani Yaliyo Halali Siku ya Sabato?
82 34 Yesu Achagua Mitume Kumi na Wawili 82
84 35 Mahubiri Maarufu ya Mlimani
92 36 Imani Kubwa ya Ofisa wa Jeshi
94 37 Yesu Amfufua Mwana wa Mjane
96 38 Yohana Anataka Kusikia Kutoka kwa Yesu 96
98 39 Ole kwa Kizazi Kisichotii
102 41 Anafanya Miujiza kwa Nguvu za Nani?
104 42 Yesu Awakemea Mafarisayo
112 44 Yesu Atuliza Dhoruba Baharini
114 45 Ana Nguvu Kuliko Kikosi cha Roho Waovu
116 46 Aponywa kwa Kugusa Vazi la Yesu
118 47 Msichana Mdogo Afufuliwa!
120 48 Afanya Miujiza, Lakini Akataliwa Hata Huko Nazareti
122 49 Ahubiri Huko Galilaya na Kuwazoeza Mitume
124 50 Tayari Kuhubiri Licha ya Mateso
126 51 Mauaji Kwenye Sherehe ya Sikukuu ya Kuzaliwa
128 52 Alisha Maelfu kwa Mikate na Samaki Wachache
130 53 Mtawala Anayeweza Kudhibiti Nguvu za Asili
134 55 55 Maneno ya Yesu Yawashtua Wengi
136 56 Ni Nini Hasa Kinachomchafua Mtu?
138 57 Yesu Amponya Msichana na Mwanamume Kiziwi
140 58 Afanya Mikate Iongezeke Kimuujiza na Kuonya Kuhusu Chachu
142 59 Mwana wa Binadamu Ni Nani?
144 60 Kugeuka Sura—Wamwona Kristo Katika Utukufu
146 61 Yesu Amponya Mvulana Mwenye Roho Mwovu
148 62 Somo Muhimu Kuhusu Unyenyekevu
150 63 Yesu Atoa Ushauri Kuhusu Kukwaza na Dhambi
154 65 Kufundisha Akiwa Safarini Kwenda Yerusalemu
SEHEMU YA 4—HUDUMA YA YESU YA BAADAYE HUKO YUDEA
158 66 Akiwa Yerusalemu kwa Ajili ya Sherehe ya Vibanda
160 67 ‘Hakuna Mtu Mwingine Ambaye Amewahi Kuzungumza Hivyo’
162 68 Mwana wa Mungu—“Nuru ya Ulimwengu”
164 69 Je, Baba Yao Ni Abrahamu au Ni Ibilisi?
166 70 Yesu Amponya Mtu Aliyezaliwa Kipofu
168 71 Mafarisayo Wamhoji Mtu Aliyekuwa Kipofu
170 72 Yesu Awatuma Wanafunzi 70 Wakahubiri
172 73 Msamaria Athibitika Kuwa Jirani wa Kweli
174 74 Masomo Kuhusu Ukarimu na Sala
176 75 Yesu Afunua Chanzo cha Furaha
178 76 Kula Mlo Pamoja na Farisayo
180 77 Yesu Atoa Ushauri Kuhusu Utajiri
182 78 Uwe Tayari, Msimamizi Mwaminifu!
184 79 Kwa Nini Kutakuwa na Uharibifu Wakati Ujao
186 80 Mchungaji Mwema na Mazizi ya Kondoo
188 81 Yesu na Baba Ni Kitu Kimoja, Lakini Yeye Si Mungu
SEHEMU YA 5—HUDUMA YA YESU YA BAADAYE UPANDE WA MASHARIKI WA YORDANI
192 82 Huduma ya Yesu Huko Perea
194 83 Kualikwa Kwenye Mlo—Mungu Anawaalika Nani?
196 84 Kuwa Mwanafunzi—Kwa Nini Ni Jambo Zito?
198 85 Kushangilia Mtenda Dhambi Anapotubu
204 87 Panga Mapema—Tumia Hekima Inayotumika
206 88 Mabadiliko Katika Hali ya Tajiri na Lazaro
210 89 Afundisha Huko Perea Akiwa Njiani Kwenda Yudea
216 92 Watu Kumi Wenye Ukoma Waponywa—Mmoja Ashukuru
218 93 Mwana wa Binadamu Atafunuliwa
220 94 Mambo Mawili Muhimu Sana—Sala na Unyenyekevu
222 95 Afundisha Kuhusu Talaka na Kuwapenda Watoto
224 96 Yesu Amjibu Mtawala Kijana Aliye Tajiri
226 97 Mfano wa Wafanyakazi Katika Shamba la Mizabibu
228 98 Mitume Wabishana Tena Kuhusu Umashuhuri
230 99 Yesu Awaponya Wanaume Vipofu, Kisha Amsaidia Zakayo
SEHEMU YA 6—HUDUMA YA MWISHO YA YESU
236 101 Mlo Katika Nyumba ya Simoni Huko Bethania
238 102 Mfalme Aingia Yerusalemu Akiwa Juu ya Mwanapunda
240 103 Hekalu Lasafishwa Tena
242 104 Wayahudi Wasikia Sauti ya Mungu—Je, Wataonyesha Imani?
244 105 Atumia Mtini Kufundisha Kuhusu Imani
246 106 Mifano Miwili Kuhusu Mashamba ya Mizabibu
248 107 Mfalme Awaita Wale Walioalikwa Kwenye Karamu ya Ndoa
250 108 Yesu Apangua Njama ya Kumtega
252 109 Awashutumu Wapinzani wa Kidini
254 110 Siku ya Mwisho ya Yesu Hekaluni
260 112 Somo Kuhusu Kuwa Macho—Mabikira
262 113 Somo Kuhusu Bidii—Talanta
264 114 Kristo Akiwa na Mamlaka ya Kifalme Awahukumu Kondoo na Mbuzi
266 115 Pasaka ya Mwisho ya Yesu Yakaribia
268 116 Afundisha Kuhusu Unyenyekevu Kwenye Pasaka ya Mwisho
272 118 Wabishana Kuhusu Aliye Mkuu Zaidi
274 119 Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
276 120 Kuzaa Matunda Kama Matawi na Kuwa Rafiki za Yesu
278 121 “Jipeni Moyo! Mimi Nimeushinda Ulimwengu”
280 122 Sala ya Mwisho ya Yesu Katika Chumba cha Juu
282 123 Yesu Anasali Akiwa na Huzuni Nyingi
284 124 Kristo Asalitiwa na Kukamatwa
286 125 Yesu Apelekwa kwa Anasi, Kisha kwa Kayafa
288 126 Yesu Akanwa Nyumbani kwa Kayafa
290 127 Kesi Mbele ya Sanhedrini, Kisha Apelekwa kwa Pilato
292 128 Pilato na Herode Wakosa Kumpata na Hatia
294 129 Pilato Asema: “Tazama! Mwanamume!”
296 130 Yesu Akabidhiwa na Kupelekwa Akauawe
298 131 Mfalme Asiye na Hatia Ateseka Kwenye Mti
300 132 “Hakika Mtu Huyu Alikuwa Mwana wa Mungu”
302 133 Mwili wa Yesu Watayarishwa na Kuzikwa
304 134 Kaburi Tupu—Yesu Yuko Hai!
306 135 Yesu Aliyefufuliwa Awatokea Wengi
308 136 Kwenye Ufuo wa Bahari ya Galilaya
310 137 Mamia Wamwona Kabla ya Pentekoste