Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 7
  • Yehova, Nguvu Yetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova, Nguvu Yetu
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova, Nguvu Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Yehova, Nguvu Zetu na Uweza Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Ndipo Watajua
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shukrani kwa Ajili ya Subira ya Kimungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 7

WIMBO NA. 7

Yehova, Nguvu Yetu

Makala Iliyochapishwa

(Isaya 12:2)

  1. 1. Yah mwenye fadhili, nguvu yetu,

    Twakupenda, U Mwokozi wetu.

    Twazitangaza habari zako,

    Wasikie ama wakatae.

    (KORASI)

    Yehova Mwamba, na nguvu yetu,

    Twalitangaza jina lako.

    Yehova mkuu, mwenye nguvu,

    U mnara wetu; ngome yetu.

  2. 2. Tunashangilia nuru yako;

    Twaiona kweli waziwazi.

    Tunajifunza sheria zako;

    Twautetea Ufalme wako.

    (KORASI)

    Yehova Mwamba, na nguvu yetu,

    Twalitangaza jina lako.

    Yehova mkuu, mwenye nguvu,

    U mnara wetu; ngome yetu.

  3. 3. Tunayafanya mapenzi yako,

    Licha ya dhihaka za Shetani.

    Hata iwe twakabili kifo,

    Hadi mwisho tuwe wa’minifu.

    (KORASI)

    Yehova Mwamba, na nguvu yetu,

    Twalitangaza jina lako.

    Yehova mkuu, mwenye nguvu,

    U mnara wetu; ngome yetu.

(Ona pia 2 Sam. 22:3; Zab. 18:2; Isa. 43:12.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki