Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl kur. 90-91
  • Subira

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Subira
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl kur. 90-91

Subira

Yehova ameonyeshaje subira?

Ro 2:4; 9:22

Tazama pia Ne 9:30

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Yer 7:​23-25—Yehova anaeleza jinsi alivyowaonyesha subira ya pekee watu wake wasiotii

    • 2Pe 3:​3-9, 15—Mtume Petro anaeleza kwa nini na jinsi ambavyo Yehova ameonyesha subira nyingi, na anasema kwamba subira ya Yehova itafikia mwisho

Kwa nini ni lazima tusitawishe subira?

Met 25:15; Efe 4:​1-3; 2Ti 2:​24, 25; 4:2

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Mwa 39:​19-21; 40:​14, 15, 23; 41:​1, 9-14—Ingawa Yosefu aliuzwa na kuwa mtumwa, na akafungwa gerezani isivyo haki nchini Misri kwa miaka mingi, alivumilia kwa subira na kudumisha imani yake

    • Ebr 6:​10-15—Mtume Paulo anatumia mfano wa Abrahamu kuwafundisha Wakristo thamani ya subira

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki