Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl uku. 103
  • Usawaziko

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usawaziko
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl uku. 103

Usawaziko

Kwa nini Wakristo wanapaswa kuonyesha usawaziko?

Flp 4:5; Tit 3:2; Yak 3:17

Tazama pia 1Ti 3:​2, 3

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Mwa 18:​23-33—Kwa subira Yehova anamruhusu Abrahamu amuulize maswali kuhusu uharibifu wa Sodoma na Gomora

    • Mwa 19:​16-22, 30—Yehova anamwonyesha Loti usawaziko kwa kumruhusu akimbilie Soari badala ya milimani

    • Mt 15:​21-28—Yesu anaonyesha usawaziko kwa kukubali ombi la mwanamke Mfoinike aliyeonyesha imani ya pekee

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki