Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • scl uku. 111
  • Vita

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Vita
  • Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
Maandiko kwa Ajili ya Maisha ya Mkristo
scl uku. 111

Vita

Kwa nini tunapaswa kutarajia kwamba kutakuwa na vita vingi katika nyakati zetu?

Mt 24:​3, 4, 7, 8

  • Masimulizi ya Biblia yanayohusika:

    • Da 11:40—Nabii Danieli anatabiri kwamba katika siku za mwisho serikali mbili zenye nguvu zingeendelea kusukumana au kushindana

    • Ufu 6:​1-4—Katika maono, mtume Yohana anamwona farasi mwenye rangi ya moto anayefananisha vita, na yule aliyeketi juu yake anapewa ruhusa ya “kuondoa amani duniani”

Yehova atafanya nini kuhusu vita vya wanadamu?

Zb 46:​8, 9; Isa 9:​6, 7; Mik 4:3

Wakristo wana msimamo gani kuhusu vita vya mataifa?

Isa 2:​2, 4

Tazama pia “Serikali—Wakristo Wanadumisha Msimamo wa Kutounga Mkono Upande Wowote”

Yehova Mungu na Mfalme-Shujaa aliyewekwa rasmi wanapigana vita vya aina gani?

Zb 45:​3-5; Yer 25:​31-33; Ufu 19:11

Vita pekee ambavyo Wakristo wa kweli wanapigana ni vipi?

Ro 13:12; 2Ko 10:​3, 4; Efe 6:​11-17

Wakristo wanaweza kuepukaje mtazamo unaoweza kusababisha vita, ugomvi, au kulipiza kisasi katika kutaniko?

Ro 12:​17-21; Gal 5:​14, 15; Tit 3:​1, 2; Yak 4:​1-3

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki