Jumapili
“Mungu anayetoa tumaini na awajaze ninyi shangwe yote na amani”—Waroma 15:13
Asubuhi
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 101 na Sala
3:40 MFULULIZO: Jinsi Walivyopanda na Kuvuna Amani
• Yosefu na Ndugu Zake (Wagalatia 6:7, 8; Waefeso 4:32)
• Wagibeoni (Waefeso 5:17)
• Gideoni (Waamuzi 8:2, 3)
• Abigaili (1 Samweli 25:27-31)
• Mefiboshethi (2 Samweli 19:25-28)
• Paulo na Barnaba (Matendo 15:36-39)
• Vielelezo vya Leo (1 Petro 2:17)
5:05 Wimbo Na. 28 na Matangazo
5:15 HOTUBA YA WATU WOTE: Urafiki Pamoja na Mungu—Unawezekanaje? (Yakobo 4:8; 1 Yohana 4:10)
5:45 Wimbo Na. 147 na Matangazo
Alasiri
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 23
7:50 DRAMA YA BIBLIA: Yehova Hutuongoza Kwenye Njia ya Amani—Sehemu ya 2 (Isaya 48:17, 18)
8:30 Wimbo Na. 139 na Matangazo
8:40 Amani ya Ulimwenguni Pote Hakika Itapatikana! (Waroma 16:20; 1 Wakorintho 15:24-28; 1 Yohana 3:8)
9:40 Wimbo Mpya Uliotungwa na Sala ya Mwisho