Jumamosi
“Awapate mkiwa bila doa wala dosari na mkiwa katika amani”—2 Petro 3:14
Asubuhi
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 58 na Sala
3:40 MFULULIZO: Uwe Tayari Kushiriki “Habari Njema ya Amani”
• Dumisha Bidii Yako (Waroma 1:14, 15)
• Jitayarishe Vizuri (2 Timotheo 2:15)
• Chukua Hatua ya Kwanza (Yohana 4:6, 7, 9, 25, 26)
• Fuatia Upendezi (1 Wakorintho 3:6)
• Wasaidie Wanafunzi Kufikia Ukomavu (Waebrania 6:1)
4:40 Vijana—Chagueni Njia Inayoongoza Kwenye Amani! (Mathayo 6:33; Luka 7:35; Yakobo 1:4)
5:00 Wimbo Na. 135 na Matangazo
5:10 VIDEO: Jinsi Ndugu Zetu Wanavyofurahia Amani Licha ya . . .
• Upinzani
• Magonjwa
• Matatizo ya Kiuchumi
• Majanga ya Asili
5:45 UBATIZO: Endelea Kutembea “Kwenye Njia ya Amani” (Luka 1:79; 2 Wakorintho 4:16-18; 13:11)
6:15 Wimbo Na. 54 na Mapumziko
Alasiri
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 29
7:50 MFULULIZO: ‘Vua’ Mazoea Yanayoharibu Amani
• Kujisifu Isivyofaa (Waefeso 4:22; 1 Wakorintho 4:7)
• Wivu (Wafilipi 2:3, 4)
• Udanganyifu (Waefeso 4:25)
• Porojo Zenye Kuumiza (Methali 15:28)
• Hasira Isiyodhibitiwa (Yakobo 1:19)
8:45 DRAMA YA BIBLIA: Yehova Hutuongoza Kwenye Njia ya Amani—Sehemu ya 1 (Isaya 48:17, 18)
9:15 Wimbo Na. 130 na Matangazo
9:25 MFULULIZO: “Tafuta Amani na Kuifuatilia” . . .
• Kwa Kutokasirika Haraka (Methali 19:11; Mhubiri 7:9; 1 Petro 3:11)
• Kwa Kuomba Msamaha (Mathayo 5:23, 24; Matendo 23:3-5)
• Kwa Kusamehe kwa Hiari (Wakolosai 3:13)
• Kwa Kutumia kwa Hekima Zawadi ya Usemi (Methali 12:18; 18:21)
10:15 Dumisha ‘Kifungo Chetu cha Muungano cha Amani’! (Waefeso 4:1-6)
10:50 Wimbo Na. 113 na Sala ya Mwisho