Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm22 kur. 2-3
  • Ijumaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ijumaa
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2022
  • Habari Zinazolingana
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2022
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2019
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2022
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2022
CO-pgm22 kur. 2-3
Maumbo ya bluu na kijani.

Ijumaa

“Yehova atawabariki watu wake kwa amani”​—Zaburi 29:11

Asubuhi

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 86 na Sala

  • 3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Yehova Ni “Mungu Anayetoa Amani” (Waroma 15:33; Wafilipi 4:6, 7)

  • 4:10 MFULULIZO: Jinsi Ambavyo Upendo Hutusaidia Kupata Amani ya Kweli

    • • Upendo kwa Mungu (Mathayo 22:37, 38; Waroma 12:17-19)

    • • Upendo kwa Jirani (Mathayo 22:39; Waroma 13:8-10)

    • • Upendo kwa Neno la Mungu (Zaburi 119:165, 167, 168)

  • 5:05 Wimbo Na. 24 na Matangazo

  • 5:15 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: Yakobo​—Mwanamume Aliyependa Amani (Mwanzo 26:12–33:11)

  • 5:45 “Matokeo ya Uadilifu wa Kweli Yatakuwa Amani” (Isaya 32:17; 60:21, 22)

  • 6:15 Wimbo Na. 97 na Mapumziko

Alasiri

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 144

  • 7:50 MFULULIZO: Shangilia Katika Ahadi za Mungu za Amani

    • • “Watumishi Wangu Watakula . . . Watumishi Wangu Watakunywa” (Isaya 65:13, 14)

    • • “Watajenga Nyumba na . . . Watapanda Mashamba ya Mizabibu” (Isaya 65:21-23)

    • • “Mbwamwitu na Mwanakondoo Watalisha Pamoja” (Isaya 11:6-9; 65:25)

    • • “Hakuna Mkaaji Atakayesema: ‘Mimi Ni Mgonjwa’” (Isaya 33:24; 35:5, 6)

    • • “Atameza Kifo Milele” (Isaya 25:7, 8)

  • 8:50 Wimbo Na. 35 na Matangazo

  • 9:00 MFULULIZO: Fuata Ramani Inayoongoza Familia Iwe na Maisha Yenye Amani

    • • Onyesha Upendo na Heshima (Waroma 12:10)

    • • Boresha Mawasiliano (Waefeso 5:15, 16)

    • • Shirikianeni (Mathayo 19:6)

    • • Mwabuduni Yehova Pamoja (Yoshua 24:15)

  • 9:55 Muunge Mkono kwa Ushikamanifu “Mkuu wa Amani” (Isaya 9:6, 7; Tito 3:1, 2)

  • 10:15 Usidanganywe na Amani ya Uwongo! (Mathayo 4:1-11; Yohana 14:27; 1 Wathesalonike 5:2, 3)

  • 10:50 Wimbo Na. 112 na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki