Ijumaa
“MMEFUNDISHWA NA MUNGU KUPENDANA”—1 WATHESALONIKE 4:9
ASUBUHI
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 105 na Sala
3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: “Upendo Haushindwi Kamwe”—Kwa Nini? (Waroma 8:38, 39; 1 Wakorintho 13:1-3, 8, 13)
4:15 MFULULIZO: Jihadhari Usitegemee Vitu Visivyodumu!
Mali (Mathayo 6:24)
Cheo na Umaarufu (Mhubiri 2:16; Waroma 12:16)
Hekima ya Wanadamu (Waroma 12:1, 2)
Nguvu na Urembo (Methali 31:30; 1 Petro 3:3, 4)
5:05 Wimbo Na. 40 na Matangazo
5:15 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: Yehova Aliendelea Kuonyesha Upendo Mshikamanifu (Mwanzo 37:1-36; 39:1–47:12)
5:45 Yehova Anawapenda Wanaompenda Mwana Wake (Mathayo 25:40; Yohana 14:21; 16:27)
6:15 Wimbo Na. 20 na Mapumziko
ALASIRI
7:25 Video ya Muziki
7:35 Wimbo Na. 107
7:40 MFULULIZO: Upendo Haushindwi Kamwe Licha ya . . .
Kulelewa Katika Familia Isiyo na Upendo (Zaburi 27:10)
Mazingira Magumu Kazini (1 Petro 2:18-20)
Watu Wasiomwogopa Mungu Shuleni (1 Timotheo 4:12)
Matatizo ya Kiafya Yanayodumu (2 Wakorintho 12:9, 10)
Umaskini (Wafilipi 4:12, 13)
Upinzani Kutoka kwa Familia (Mathayo 5:44)
8:50 Wimbo Na. 141 na Matangazo
9:00 MFULULIZO: Uumbaji Unafunua Upendo wa Yehova
Mbingu (Zaburi 8:3, 4; 33:6)
Dunia (Zaburi 37:29; 115:16)
Mimea (Mwanzo 1:11, 29; 2:9, 15; Matendo 14:16, 17)
Wanyama (Mwanzo 1:27; Mathayo 6:26)
Mwili wa Mwanadamu (Zaburi 139:14; Mhubiri 3:11)
9:55 “Yehova Huwatia Nidhamu Wale Anaowapenda” (Waebrania 12:5-11; Zaburi 19:7, 8, 11)
10:15 “Jivikeni Upendo” (Wakolosai 3:12-14)
10:50 Wimbo Na. 130 na Sala ya Mwisho