Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm24 kur. 2-6
  • Ijumaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ijumaa
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Habari Zinazolingana
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
CO-pgm24 kur. 2-6
Picha: Mambo makuu ya programu ya Ijumaa. 1. Akiwa katika patakatifu pa hekalu, malaika anaongea na Zekaria anayeogopa. 2. Bikira Myahudi Maria akiwa anashangaa. 3. Yosefu na Maria wakitembea na punda. Maria amembeba mikononi mwake mtoto Yesu.

Ijumaa

“Habari njema ya shangwe kubwa ambayo watu wote watakuwa nayo”​—Luka 2:10

Asubuhi

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 150 na Sala

  • 3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Kwa Nini Tunahitaji Habari Njema? (1 Wakorintho 9:16; 1 Timotheo 1:12)

  • 4:10 DRAMA YA BIBLIA:

    Habari Njema Kulingana na Yesu: Drama ya 1

    Nuru ya Kweli ya Ulimwengu—Sehemu ya I (Mathayo 1:​18-25; Luka 1:​1-80; Yohana 1:​1-5)

  • 4:45 Wimbo Na. 96 na Matangazo

  • 4:55 MFULULIZO: ‘Waliongozwa na Roho Takatifu’

    • • Mathayo (2 Petro 1:21)

    • • Marko (Marko 10:21)

    • • Luka (Luka 1:​1-4)

    • • Yohana (Yohana 20:31)

  • 6:10 Wimbo Na. 110 na Mapumziko

Alasiri

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 117

  • 7:50 MFULULIZO: Amini Ukweli Kumhusu Yesu

    • • Neno (Yohana 1:1; Wafilipi 2:​8-11)

    • • Jina Lake (Matendo 4:12)

    • • Kuzaliwa Kwake (Mathayo 2:​1, 2, 7-12, 16)

  • 8:30 Wimbo Na. 99 na Matangazo

  • 8:40 MFULULIZO: Jifunze Kuhusu Nchi Ambayo Yesu Aliishi

    • • Jiografia (Kumbukumbu la Torati 8:7)

    • • Wanyama (Luka 2:​8, 24)

    • • Chakula (Luka 11:3; 1 Wakorintho 10:31)

    • • Maisha ya Nyumbani (Wafilipi 1:10)

    • • Jamii (Kumbukumbu la Torati 22:4)

    • • Elimu (Kumbukumbu la Torati 6:​6, 7)

    • • Ibada (Kumbukumbu la Torati 16:​15, 16)

  • 10:15 “Habari Njema ya Milele”—Katika Maana Gani? (Ufunuo 14:​6, 7)

  • 10:50 Wimbo Na. 66 na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki