Jumamosi
“Bidii kwa ajili ya nyumba yako itanila”—Yohana 2:17
Asubuhi
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 93 na Sala
3:40 “Mnatafuta Nini?” (Yohana 1:38)
3:50 DRAMA YA BIBLIA:
Habari Njema Kulingana na Yesu: Drama ya 2
“Huyu Ni Mwanangu”—Sehemu ya 2 (Yohana 1:19–2:25)
4:20 Wimbo Na. 54 na Matangazo
4:30 MFULULIZO: Waige Wale Walioipenda Ibada Safi!
• Yohana Mbatizaji (Mathayo 11:7-10)
• Andrea (Yohana 1:35-42)
• Petro (Luka 5:4-11)
• Yohana (Mathayo 20:20, 21)
• Yakobo (Marko 3:17)
• Filipo (Yohana 1:43)
• Nathanaeli (Yohana 1:45-47)
5:35 UBATIZO: Umuhimu wa Ubatizo Wako (Malaki 3:17; Matendo 19:4; 1 Wakorintho 10:1, 2)
6:05 Wimbo Na. 52 na Mapumziko
Alasiri
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 36
7:50 MFULULIZO: Masomo Tunayojifunza Kutokana na Muujiza wa Kwanza wa Yesu
• Onyesha Huruma (Wagalatia 6:10; 1 Yohana 3:17)
• Sitawisha Unyenyekevu (Mathayo 6:2-4; 1 Petro 5:5)
• Uwe Mkarimu (Kumbukumbu la Torati 15:7, 8; 15:7, 8; Luka 6:38)
8:20 Jinsi “Mwanakondoo wa Mungu” Huondoa Dhambi (Yohana 1:29; 3:14-16)
8:45 MFULULIZO: Unabii wa Kimasihi Watimizwa!—Sehemu ya 2
• Bidii kwa Ajili ya Nyumba ya Yehova Ilimla (Zaburi 69:9; Yohana 2:13-17)
• Aliwatangazia “Wapole Habari Njema” (Isaya 61:1, 2)
• Aliangaza “Nuru Kuu” Huko Galilaya (Isaya 9:1, 2)
9:20 Wimbo Na. 117 na Matangazo
9:30 “Ondoeni Vitu Hivi Hapa!” (Yohana 2:13-16)
10:00 “Nitalisimamisha” (Yohana 2:18-22)
10:35 Wimbo Na. 75 na Sala ya Mwisho