Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm25 kur. 2-3
  • Ijumaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ijumaa
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Habari Zinazolingana
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
CO-pgm25 kur. 2-3
Picha: Mambo makuu ya programu ya Ijumaa. 1. Yesu akisali nyumbani. 2. Yesu akitazama falme za ulimwengu akiwa kwenye mlima mrefu. 3. Kijana katika siku zetu akitafakari akiwa chumbani mwake.

Ijumaa

“Yehova Mungu wako ndiye unayepaswa kumwabudu”​​—⁠Mathayo 4:10

Asubuhi

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 74 na Sala

  • 3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Ibada Safi Ni Nini? (Isaya 48:17; Malaki 3:16)

  • 4:10 DRAMA YA BIBLIA:

    Habari Njema Kulingana na Yesu: Drama ya 2

    “Huyu Ni Mwanangu”—Sehemu ya 1 (Mathayo 3:1–4:11; Marko 1:​12, 13; Luka 3:1–4:7; Yohana 1:​7, 8)

  • 4:40 Wimbo Na. 122 na Matangazo

  • 4:50 MFULULIZO: Unabii wa Kimasihi Watimizwa!—Sehemu ya 1

    • • Alitambulishwa na Mungu (Zaburi 2:7; Mathayo 3:​16, 17; Matendo 13:​33, 34)

    • • Alikuwa Mzao wa Mfalme Daudi (2 Samweli 7:​12, 13; Mathayo 1:​1, 2, 6)

    • • Alitiwa Mafuta Kuwa “Masihi Aliye Kiongozi” (Danieli 9:25; Luka 3:​1, 2, 21-23)

  • 5:45 Ni Nani Hasa Anayeutawala Ulimwengu? (Marko 12:17; Luka 4:​5-8; Yohana 18:36)

  • 6:15 Wimbo Na. 22 na Mapumziko

Alasiri

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 121

  • 7:50 MFULULIZO: Iga Majibu Ambayo Yesu Alimpa Mjaribu!

    • • Ishi kwa Neno la Yehova (Mathayo 4:​1-4)

    • • Usimjaribu Yehova (Mathayo 4:​5-7)

    • • Mwabudu Yehova Peke Yake (Mathayo 4:10; Luka 4:​5-7)

    • • Itetee Kweli (1 Petro 3:15)

  • 8:50 Wimbo Na. 97 na Matangazo

  • 9:00 MFULULIZO: Jifunze Kuhusu Nchi Ambayo Yesu Aliishi

    • • Nyika ya Yudea (Mathayo 3:​1-4; Luka 4:1)

    • • Bonde la Yordani (Mathayo 3:​13-15; Yohana 1:​27, 30)

    • • Yerusalemu (Mathayo 23:​37, 38)

    • • Samaria (Yohana 4:​7-9, 40-42)

    • • Galilaya (Mathayo 13:​54-57)

    • • Foinike (Luka 4:​25, 26)

    • • Siria (Luka 4:27)

  • 10:10 Yesu Anaona Nini Ndani Yako? (Yohana 2:25)

  • 10:45 Wimbo Na. 34 na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki