Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm24 kur. 4-5
  • Jumamosi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jumamosi
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Habari Zinazolingana
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2025
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2022
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
CO-pgm24 kur. 4-5
Picha: Mambo makuu ya programu ya Jumamosi. 1. Yosefu na Maria wakiwa na mtoto Yesu. 2. Mfalme Herode. 3. Wenzi wa ndoa Mashahidi wakiwa utumishi wa shambani.

Jumamosi

“Tangazeni habari njema za wokovu wake siku baada ya siku”​—Zaburi 96:2

Asubuhi

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 53 na Sala

  • 3:40 “Ni Lazima . . . Nitangaze Habari Njema ya Ufalme” (Luka 4:43)

  • 3:50 DRAMA YA BIBLIA:

    Habari Njema Kulingana na Yesu: Drama ya 1

    Nuru ya Kweli ya Ulimwengu —Sehemu ya II (Mathayo 2:​1-23; Luka 2:​1-38, 41-52; Yohana 1:9)

  • 4:25 Wimbo Na. 69 na Matangazo

  • 4:35 MFULULIZO: Unabii wa Kimasihi Watimizwa!

    • • Mjumbe Alikuja Kabla Yake (Malaki 3:1; 4:5; Mathayo 11:​10-14)

    • • Alizaliwa na Bikira (Isaya 7:14; Mathayo 1:​18, 22, 23)

    • • Alizaliwa Bethlehemu (Mika 5:2; Luka 2:​4-7)

    • • Alilindwa Alipokuwa Mtoto (Hosea 11:1; Mathayo 2:​13-15)

    • • Angeitwa Mnazareti (Isaya 11:​1, 2; Mathayo 2:23)

    • • Aliwasili Wakati Uliowekwa (Danieli 9:25; Luka 3:​1, 2, 21, 22)

  • 5:40 UBATIZO: Endelea ‘Kujitiisha Kwenye Habari Njema’ (2 Wakorintho 9:13; 1 Timotheo 4:​12-16; Waebrania 13:17)

  • 6:10 Wimbo Na. 24 na Mapumziko

Alasiri

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 83

  • 7:50 MFULULIZO: Tumia Habari Njema Kushinda Habari Mbaya

    • • Porojo Zenye Madhara (Isaya 52:7)

    • • Dhamiri Yenye Hatia (1 Yohana 1:​7, 9)

    • • Matukio ya Karibuni (Mathayo 24:14)

    • • Kuvunjika Moyo (Mathayo 11:​28-30)

  • 8:35 MFULULIZO: ‘Kutamani Kutangaza Habari Njema’

    • • Si Kazi ya Mitume Tu (Waroma 1:15; 1 Wathesalonike 1:8)

    • • Tendo la Ibada (Waroma 1:9)

    • • Uwe Tayari Ukiwa na Vifaa Vinavyofaa (Waefeso 6:15)

  • 9:15 VIDEO: Jinsi “Habari Njema Inavyozaa Matunda na Kuongezeka Ulimwenguni Kote” (Wakolosai 1:6)

  • 9:40 Wimbo Na. 35 na Matangazo

  • 9:50 MFULULIZO: Endelea Kuhubiri Habari Njema

    • • Popote Ulipo (2 Timotheo 4:5)

    • • Popote Mungu Anapoelekeza (Matendo 16:​6-10)

  • 10:15 Utafanya Nini “kwa Ajili ya Habari Njema”? (1 Wakorintho 9:23; Isaya 6:8)

  • 10:50 Wimbo Na. 21 na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki