Ijumaa
“Habari njema ya shangwe kubwa ambayo watu wote watakuwa nayo”—Luka 2:10
Asubuhi
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 150 na Sala
3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Kwa Nini Tunahitaji Habari Njema? (1 Wakorintho 9:16; 1 Timotheo 1:12)
4:10 DRAMA YA BIBLIA:
Habari Njema Kulingana na Yesu: Drama ya 1
Nuru ya Kweli ya Ulimwengu—Sehemu ya I (Mathayo 1:18-25; Luka 1:1-80; Yohana 1:1-5)
4:45 Wimbo Na. 96 na Matangazo
4:55 MFULULIZO: ‘Waliongozwa na Roho Takatifu’
• Mathayo (2 Petro 1:21)
• Marko (Marko 10:21)
• Luka (Luka 1:1-4)
• Yohana (Yohana 20:31)
6:10 Wimbo Na. 110 na Mapumziko
Alasiri
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 117
7:50 MFULULIZO: Amini Ukweli Kumhusu Yesu
• Neno (Yohana 1:1; Wafilipi 2:8-11)
• Jina Lake (Matendo 4:12)
• Kuzaliwa Kwake (Mathayo 2:1, 2, 7-12, 16)
8:30 Wimbo Na. 99 na Matangazo
8:40 MFULULIZO: Jifunze Kuhusu Nchi Ambayo Yesu Aliishi
• Jiografia (Kumbukumbu la Torati 8:7)
• Wanyama (Luka 2:8, 24)
• Chakula (Luka 11:3; 1 Wakorintho 10:31)
• Maisha ya Nyumbani (Wafilipi 1:10)
• Jamii (Kumbukumbu la Torati 22:4)
• Elimu (Kumbukumbu la Torati 6:6, 7)
• Ibada (Kumbukumbu la Torati 16:15, 16)
10:15 “Habari Njema ya Milele”—Katika Maana Gani? (Ufunuo 14:6, 7)
10:50 Wimbo Na. 66 na Sala ya Mwisho