Jumapili
“. . . na ndipo ule mwisho utakapokuja”—Mathayo 24:14
Asubuhi
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 84 na Sala
3:40 MFULULIZO: Waige Wale Waliokuwa na Imani Katika Habari Njema
• Zekaria (Waebrania 12:5, 6)
• Elisabeti (1 Wathesalonike 5:11)
• Maria (Zaburi 77:12)
• Yosefu (Methali 1:5)
• Simeoni na Ana (1 Mambo ya Nyakati 16:34)
• Yesu (Yohana 8:31, 32)
5:05 Wimbo Na. 65 na Matangazo
5:15 HOTUBA YA WATU WOTE: Kwa Nini Hatuogopi Habari Mbaya? (Zaburi 112:1-10)
5:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
6:15 Wimbo Na. 61 na Mapumziko
Alasiri
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 122
7:50 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: “Hakuna Kukawia Tena” (Ufunuo 10:6)
8:20 Wimbo Na. 126 na Matangazo
8:30 Umejifunza Masomo Gani?
8:40 ‘Ishike Sana Habari Njema’—Kwa Nini na Jinsi Gani? (1 Wakorintho 2:16; 15:1, 2, 58; Marko 6:30-34)
9:30 Wimbo Mpya Uliotungwa na Sala ya Mwisho