Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm17 kur. 2-3
  • Ijumaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ijumaa
  • Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2017
  • Habari Zinazolingana
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2019
  • Jumapili
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2017
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
Pata Habari Zaidi
Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2017
CO-pgm17 kur. 2-3
Picha za mambo makuu ya programu ya Ijumaa asubuhi ya kusayiko la eneo la Mashahidi wa Yehova la 2017.

Ijumaa

“Na tusife moyo katika kufanya yaliyo mema”​—WAGALATIA 6:9

ASUBUHI

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 77 na Sala

  • 3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Hatupaswi Kufa Moyo —Hasa Sasa! (Ufunuo 12:12)

  • 4:15 MFULULIZO: Endelea Kuhubiri “Bila Kuacha”

    • Isivyo Rasmi (Matendo 5:42; Mhubiri 11:6)

    • Nyumba kwa Nyumba (Matendo 20:20)

    • Hadharani (Matendo 17:17)

    • Kufanya Wanafunzi (Waroma 1:14-16; 1 Wakorintho 3:6)

  • 5:05 Wimbo Na. 76 na Matangazo

  • 5:15 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: Yehova Huwakomboa Watu Wake (Kutoka 3:1-22; 4:1-9; 5:1-9; 6:1-8; 7:1-7; 14:5-10, 13-31; 15:1-21)

  • 5:45 Yehova—Mfano Bora Zaidi wa Uvumilivu (Waroma 9:22, 23; 15:13; Yakobo 1:2-4)

  • 6:15 Wimbo Na. 115 na Mapumziko

Picha za mambo makuu ya programu ya Ijumaa asubuhi ya kusayiko la eneo la Mashahidi wa Yehova la 2017.

ALASIRI

  • 7:25 Video ya Muziki

  • 7:35 Wimbo Na. 128

  • 7:40 MFULULIZO: Kuvumilia Licha ya . . .

    • Kutendewa Isivyo Haki (Mathayo 5:38, 39)

    • Kuzeeka (Isaya 46:4; Yuda 20, 21)

    • Kutokamilika Kwetu Wenyewe (Waroma 7:21-25)

    • Hali Zenye Kunyenyekeza (Wagalatia 2:11-14; Waebrania 12:5, 6, 10, 11)

    • Ugonjwa wa Muda Mrefu (Zaburi 41:3)

    • Kufiwa na Mpendwa Wetu (Zaburi 34:18)

    • Mateso (Ufunuo 1:9)

  • 8:55 Wimbo Na. 136 na Matangazo

  • 9:05 DRAMA: “Mkumbukeni Mke wa Loti”​—Sehemu ya 1 (Luka 17:28-33)

  • 9:35 MFULULIZO: Sitawisha Sifa Zitakazokusaidia Kuvumilia

    • Imani (Waebrania 11:1)

    • Wema wa Adili (Wafilipi 4:8, 9)

    • Ujuzi (Methali 2:10, 11)

    • Kujizuia (Wagalatia 5:22, 23)

  • 10:15 Ni Jinsi Gani “Hamtashindwa Hata Kidogo”! (2 Petro 1:5-10; Isaya 40:31; 2 Wakorintho 4:7-9, 16)

  • 10:50 Wimbo Na. 3 na Sala ya Kumalizia

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki