Jumamosi
“Shangilieni katika tumaini. Vumilieni chini ya dhiki”—WAROMA 12:12
ASUBUHI
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 44 na Sala
3:40 MFULULIZO: Jinsi Ambavyo Yehova ‘Hutoa Nguvu za Kuvumilia na Faraja’ kwa . . .
Walio Dhaifu na Walioshuka Moyo (Waroma 15:4, 5; 1 Wathesalonike 5:14; 1 Petro 5:7-10)
Walio na Uhitaji wa Vitu vya Kimwili (1 Timotheo 6:18)
“Mvulana Asiye na Baba” (Zaburi 82:3)
Walio na Umri Mkubwa (Mambo ya Walawi 19:32)
4:50 Wimbo Na. 138 na Matangazo
5:00 MFULULIZO: Jenga Nyumba Itakayodumu
‘Ridhika na Vitu vya Sasa’ (Waebrania 13:5; Zaburi 127:1, 2)
Walinde Watoto Wako Kutokana na “Yaliyo Maovu” (Waroma 16:19; Zaburi 127:3)
Wazoeze Watoto Wako ‘Kulingana na Njia Inayowafaa’ (Methali 22:3, 6; Zaburi 127:4, 5)
5:45 UBATIZO: “Usishindwe na Woga”! (1 Petro 3:6, 12, 14)
6:15 Wimbo Na. 79 na Mapumziko
ALASIRI
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 126
7:50 MFULULIZO: Waige “Wale Ambao Wamevumilia”
Yosefu (Mwanzo 37:23-28; 39:17-20; Yakobo 5:11)
Ayubu (Ayubu 10:12; 30:9, 10)
Binti ya Yeftha (Waamuzi 11:36-40)
Yeremia (Yeremia 1:8, 9)
8:35 DRAMA: “Mkumbukeni Mke wa Loti”—Sehemu ya—2 (Luka 17:28-33)
9:05 Wimbo Na. 111 na Matangazo
9:15 MFULULIZO: Jifunze Uvumilivu Kupitia Uumbaji
Ngamia (Yuda 20)
Miti ya Milimani (Wakolosai 2:6, 7; 1 Petro 5:9, 10)
Vipepeo (2 Wakorintho 4:16)
Membe wa Aktiki (1 Wakorintho 13:7)
Kiluwiluwi (Waebrania 10:39)
Mgunga (Waefeso 6:13)
10:15 Watoto—Uvumilivu Wenu Unamfanya Yehova Ashangilie! (Methali 27:11)
10:50 Wimbo Na. 135 na Sala ya Kumalizia