Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • CO-pgm21 kur. 4-5
  • Jumamosi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jumamosi
  • 2021 Programu ya Kusanyiko la Eneo
  • Habari Zinazolingana
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2020
  • Ijumaa
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2024
  • Jumapili
    2021 Programu ya Kusanyiko la Eneo
  • Jumamosi
    Programu ya Kusanyiko la Eneo la 2019
Pata Habari Zaidi
2021 Programu ya Kusanyiko la Eneo
CO-pgm21 kur. 4-5
Picha: 1. Dada akizungumza na kijana wake na binti yake. 2. Akina dada wawili wakihubiri katika eneo la mashambani la Asia. 3. Danieli na vijana Waebrania watatu wakiwa wamesimama mbele ya mfalme wa Babiloni.

Jumamosi

“Mfanye pigano kali kwa ajili ya imani”​—Yuda 3

ASUBUHI

  • 3:20 Video ya Muziki

  • 3:30 Wimbo Na. 57 na Sala

  • 3:40 MFULULIZO: Kumbuka​—Watu Wasio na Imani Wanaweza Kusitawisha Imani!

    • • Waninawi (Yona 3:5)

    • • Ndugu wa Kimwili wa Yesu (1 Wakorintho 15:7)

    • • Watu Maarufu (Wafilipi 3:7, 8)

    • • Wasiopenda Dini (Waroma 10:13-15; 1 Wakorintho 9:22)

  • 4:30 Jenga Imani kwa Kutumia Chapisho Furahia Maisha Milele! (Yohana 17:3)

  • 4:50 Wimbo Na. 67 na Matangazo

  • 5:00 MFULULIZO: Wapiganaji wa Imani Waliofanikiwa

    • • Walio na Wenzi wa Ndoa Wasio Waamini (Wafilipi 3:17)

    • • Wanaolelewa na Mzazi Mmoja (2 Timotheo 1:5)

    • • Wakristo Waseja (1 Wakorintho 12:25)

  • 5:45 UBATIZO: Wale Wanaoonyesha Imani Watapata Uzima wa Milele! (Mathayo 17:20; Yohana 3:16; Waebrania 11:6)

  • 6:15 Wimbo Na. 79 na Mapumziko

ALASIRI

  • 7:35 Video ya Muziki

  • 7:45 Wimbo Na. 24

  • 7:50 MFULULIZO: Jinsi Ndugu Zetu Wanavyoonyesha Imani . . .

    • • Afrika

    • • Asia

    • • Ulaya

    • • Amerika Kaskazini

    • • Oceania

    • • Amerika Kusini

  • 8:15 MFULULIZO: Kwa Imani Ingia Mlango Unaoongoza Kwenye Utendaji

    • • Jifunze Lugha Mpya (1 Wakorintho 16:9)

    • • Hamia Eneo Lenye Uhitaji Mkubwa Zaidi (Waebrania 11:8-10)

    • • Jaza Ombi la Kuhudhuria Shule ya Waeneza-Injili wa Ufalme (1 Wakorintho 4:17)

    • • Saidia Katika Miradi ya Ujenzi ya Kitheokrasi (Nehemia 1:2, 3; 2:5)

    • • ‘Weka Kando Kitu Fulani’ kwa Ajili ya Kazi ya Yehova (1 Wakorintho 16:2)

  • 9:15 Wimbo Na. 84 na Matangazo

  • 9:20 DRAMA YA BIBLIA: Danieli: Alionyesha Imani Maisha Yake Yote—Sehemu ya 1 (Danieli 1:1–2:49; 4:1-33)

  • 10:20 “Mfanye Pigano Kali kwa Ajili ya Imani”! (Yuda 3; Methali 14:15; Waroma 16:17)

  • 10:55 Wimbo Na. 38 na Sala ya Mwisho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki