Jumamosi
“MWENDELEE KUTEMBEA KATIKA UPENDO”—WAEFESO 5:2
ASUBUHI
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 85 na Sala
3:40 MFULULIZO: Onyesha Upendo Usioshindwa Kutanikoni
Kwa Wale Wanaoongoza (1 Wathesalonike 5:12, 13)
Kwa Wajane na Watoto Wasio na Baba (Yakobo 1:27)
Kwa Waliozeeka (Mambo ya Walawi 19:32)
Kwa Watumishi wa Wakati Wote (1 Wathesalonike 1:3)
Kwa Wageni (Mambo ya Walawi 19:34; Waroma 15:7)
4:50 Wimbo Na. 58 na Matangazo
5:00 MFULULIZO: Onyesha Upendo Usioshindwa Katika Huduma
Onyesha Upendo Wako kwa Mungu (1 Yohana 5:3)
‘Mpende Jirani Yako Kama Unavyojipenda Mwenyewe’ (Mathayo 22:39)
Penda Neno la Yehova (Zaburi 119:97; Mathayo 13:52)
5:45 UBATIZO: Mwige Yesu Katika Kuonyesha Upendo (Mathayo 11:28-30)
6:15 Wimbo Na. 52 na Mapumziko
ALASIRI
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 84
7:50 MFULULIZO: Jinsi Ndugu Zetu Wanavyoonyesha Upendo Usioshindwa Katika . . .
Afrika (Mwanzo 16:13)
Asia (Matendo 2:44)
Ulaya (Yohana 4:35)
Amerika Kaskazini (1 Wakorintho 9:22)
Oceania (Zaburi 35:18)
Amerika Kusini (Matendo 1:8)
8:55 MFULULIZO: Onyesha Upendo Usioshindwa Katika Familia
Mpende Mke Wako (Waefeso 5:28, 29)
Mpende Mume Wako (Waefeso 5:33; 1 Petro 3:1-6)
Wapende Watoto Wako (Tito 2:4)
9:35 Wimbo Na. 35 na Matangazo
9:45 SINEMA: Simulizi la Yosia: Mpende Yehova; Chukia Mabaya—Sehemu ya 1 (2 Mambo ya Nyakati 33:10-24; 34:1, 2)
10:15 Wafundishe Watoto Wako Jinsi ya Kuonyesha Upendo (2 Timotheo 3:14, 15)
10:50 Wimbo Na. 134 na Sala ya Mwisho