Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • it uku. 21
  • Yehova-Nisi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova-Nisi
  • Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Pata Kimbilio Katika Jina la Yehova’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Je, Unamfanya Yehova Kuwa Kimbilio Lako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • B5 Hema la Ibada na Kuhani Mkuu
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Majiji ya Makimbilio—Uandalizi Wenye Rehema wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
Pata Habari Zaidi
Ufahamu wa Kina wa Maandiko
it uku. 21

YEHOVA-NISI

(Yehova-nisi).

Jina la madhabahu ya ukumbusho iliyojengwa na Musa baada ya Waisraeli kuwashinda Waamaleki vitani huko Refidimu.​—Kut 17:8, 13-16.

Jina hilo linamaanisha “Yehova Ni Nguzo Yangu ya Ishara,” kwa kuwa neno nis·siʼ linatokana na neno nes (linalomaanisha nguzo ya ishara). Watafsiri wa Septuajinti ya Kigiriki waliamini kwamba neno nis·siʼ linatokana na neno nus (linalomaanisha kukimbia ili kupata kimbilio), kwa hiyo ilisemekana maana ya Yehova-nisi ni “Yehova Ni Kimbilio Langu,” hata hivyo katika Vulgate ya Kilatini iliaminika kwamba neno hilo linatokana na neno na·sasʼ (linalomaanisha kuinua; kupandisha), kwa hiyo ilisemekana maana ya jina hilo ni “Yehova Hunikweza.”​—Kut 17:15, maelezo ya chini.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki