Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • nwt kur. 2092-2093
  • B5 Hema la Ibada na Kuhani Mkuu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • B5 Hema la Ibada na Kuhani Mkuu
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Habari Zinazolingana
  • “Simameni Imara Muone Jinsi Yehova Atakavyowaokoa”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Wakati Ibada Inapowekwa Juu ya Hekalu la Kidunia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
B5 Hema la Ibada na Kuhani Mkuu

B5

Hema la Ibada na Kuhani Mkuu

Makala Iliyochapishwa

Sehemu za Hema la Ibada

  1. 1 Sanduku la Agano (Kut 25:10-22; 26:33)

  2. 2 Pazia (Kut 26:31-33)

  3. 3 Nguzo za Pazia (Kut 26:31, 32)

  4. 4 Patakatifu (Kut 26:33)

  5. 5 Patakatifu Zaidi (Kut 26:33)

  6. 6 Pazia (Kut 26:36)

  7. 7 Nguzo za Pazia (Kut 26:37)

  8. 8 Vikalio vya Shaba (Kut 26:37)

  9. 9 Madhabahu ya Uvumba (Kut 30:1-6)

  10. 10 Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kut 25:23-30; 26:35)

  11. 11 Kinara cha Taa (Kut 25:31-40; 26:35)

  12. 12 Kitambaa cha Hema cha Kitani (Kut 26:1-6)

  13. 13 Kitambaa cha Hema cha Manyoya ya Mbuzi (Kut 26:7-13)

  14. 14 Kitambaa cha Ngozi za Kondoo Dume (Kut 26:14)

  15. 15 Kifuniko cha Ngozi za Sili (Kut 26:14)

  16. 16 Kiunzi cha Mbao (Kut 26:15-18, 29)

  17. 17 Kikalio cha Fedha Chini ya Kiunzi (Kut 26:19-21)

  18. 18 Ufito (Kut 26:26-29)

  19. 19 Kikalio cha Fedha (Kut 26:32)

  20. 20 Beseni la Shaba (Kut 30:18-21)

  21. 21 Madhabahu ya Dhabihu ya Kuteketezwa (Kut 27:1-8)

  22. 22 Ua (Kut 27:17, 18)

  23. 23 Mlango (Kut 27:16)

  24. 24 Mapazia ya Kitani Yaliyoning’inia (Kut 27:9-15)

Kuhani Mkuu

Kutoka sura ya 28 inafafanua kwa kina mavazi ya kuhani mkuu wa Israeli

  • Kilemba (Kut 28:39)

  • Ishara Takatifu ya Wakfu (Kut 28:36; 29:6)

  • Jiwe la Shohamu (Kut 28:9)

  • Mnyororo (Kut 28:14)

  • Kifuko cha Kifuani cha Maamuzi Chenye Mawe 12 Yenye Thamani (Kut 28:15-21)

  • Efodi na Mshipi Wake Uliofumwa (Kut 28:6, 8)

  • Joho la Bluu Lisilo na Mikono (Kut 28:31)

  • Upindo Wenye Kengele na Makomamanga (Kut 28:33-35)

  • Kanzu ya Kitani Bora Yenye Miraba (Kut 28:39)

  • Kinachoonyeshwa Kwenye Mpangilio wa Nyakati

  • 1512 K.W.K. Hema la ibada lakamilishwa

  • 1026 K.W.K. Hekalu lazinduliwa

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki