UFUPISHO WA VICHWA
(Kuhusu machapisho yaliyo na mwaka zaidi ya mmoja, rejezo la mwisho ndilo la karibuni zaidi)
Ufupisho - Kichwa (Copyright)
be - Faidika na Elimu ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi (2002)
bh - Biblia Inafundisha Nini Hasa? (2005)
bi12 - Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya (2003)
cl - Mkaribie Yehova (2002)
ed - Mashahidi wa Yehova na Elimu (1995, 2002)
g - Amkeni!
gl - ‘Ona Nchi Nzuri’ (2003)
gu - Mwongozo wa Mungu—Njia Yetu ya Kwenda Paradiso (2002)
ip-2 - Unabii wa Isaya—Nuru kwa Wanadamu Wote II (2001)
km - Huduma Yetu ya Ufalme
kp - Endeleeni Kukesha! (2004)
la - Jinsi ya Kupata Maisha Yenye Kuridhisha (2001)
lr - Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu (2003)
my - Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia (1981, 2004)
od - Tengenezo Linalofanya Mapenzi ya Yehova (2005)
ol - Je, Umeipata Barabara Inayoongoza Kwenye Uhai wa Milele? (2002)
rs - Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko (1989, 2004)
w - Mnara wa Mlinzi
we - Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa (1994, 2005)
wt - Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli (2002)
yb - Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova