KUZAA (Kujifungua)
(Ona pia Kutoweza Kuzaa; Kuzaliwa; Uzazi)
agano la Sheria:
kutokuwa safi kwa sababu ya kujifungua: w12 1/15 17; w04 5/15 23; cl 130-131
hatua za kuzaa: g 1/11 16-17
idadi ya wanawake wanaokufa kwa sababu ya matatizo ya kujifungua: g 5/11 29; g 11/09 27; g96 11/22 28
kondo la nyuma:
kama Mkristo anaweza kuruhusu hospitali kutumia damu iliyo katika kondo la nyuma na kiunga-mwana: w97 2/1 29
kuepuka kutiwa damu mishipani: g 11/09 28-29
kujifungua: g03 1/8 14
kupanga wakati wa kujifungua: g00 10/8 29
kushuka moyo baada ya kujifungua: g04 5/8 30; g03 3/8 30; g03 3/22 30; g03 4/8 30; g03 6/8 21-23; g03 7/8 30; g03 12/22 9-10; g02 7/22 19-23
kutunza afya wakati wa ujauzito: g03 1/8 13-14; g03 12/22 8-9
afya ya mama: g 11/09 26-29; g03 1/8 12-14
kujipamba: g 4/12 23
kuzaa kwa kufanyiwa upasuaji: g98 5/22 28-29
idadi ya wanawake wanaozaa kwa kufanyiwa upasuaji: g 6/06 30
inadhaniwa kufanya watoto waathiriwe na vitu mbalimbali (mizio): g05 11/8 28
kuzaa kwa kufanyiwa upasuaji ni hatari kuliko kujifungua kwa njia ya kawaida: g 6/07 30; g04 11/8 29
njia ya Misgav-Ladach: g99 5/8 29
madhara ya kuharakisha uchungu wa kujifungua: g 11/09 30
mama ambao hawajaolewa: w07 4/1 6; g03 6/8 4
Ugiriki: g02 10/8 5
Ulaya: g03 11/22 28-29; g02 5/8 28
mambo yaliyoonwa:
mtoto azaliwa na mama akafa: g96 12/22 26-27
mwanamke Mchina aliyezaa kwa kufanyiwa upasuaji (Ureno): yb08 60
ugonjwa wa kushuka moyo baada ya kujifungua: g02 7/22 19-23
maoni ya Biblia kuhusu desturi zinazofuatwa mtoto anapozaliwa: w05 1/1 27-29
mtoto anayezaliwa mfu: we 10
nyakati za Biblia:
kuzaliwa kwa Yesu: w08 10/1 23-24
“nyumba za kujifungua” (Peru): g 4/09 30
roboti zinazoiga hali ya mwanamke anayejifungua: g 2/07 19
uhusiano wa karibu na mtoto aliyetoka tu kuzaliwa unavyoanza: g03 12/22 4-5; fy 54
watoto ambao hawaandikishwi: g03 2/22 28; g98 12/22 29