PAJI LA USO
alama kwenye paji la uso:
alama inayotiwa na mtu ambaye amevaa kitani (Eze 9): w08 7/15 5-6; w07 7/1 13; re 120; wt 124
alama ya mnyama-mwitu (Ufu 13:16; 14:9; 20:4): re 196-198, 209-211; w05 10/1 24-25
Babiloni Mkubwa:
‘jina juu ya paji la uso wake’ (Ufu 17:5): re 243-244
utepe wa kipaji: w96 2/15 30
vibweta vyenye maandiko: w96 2/15 30
Wakristo watiwa-mafuta:
jina la Mungu kwenye mapaji ya nyuso zao (Ufu 22:4): re 312-313
jina la Mwana-Kondoo na la Baba kwenye mapaji ya nyuso zao (Ufu 14:1): re 199-200
watiwa muhuri katika mapaji ya nyuso (Ufu 7:3): w07 1/1 30-31; re 113, 115-119, 276-277