SAYANSI YA KUIGA UUMBAJI (Biomimetics)
balbu zenye umbo la yai: g03 11/22 31
gari lenye umbo la samaki aina ya boxfish: lc 14; g 7/09 10
gari-moshi linalosafiri kwa kasi sana linafanana na mdomo wa mdiria: g 4/10 29
gundi inayotumiwa wakati wa upasuaji imetengenezwa kwa kuiga gundi ya mnyoo aina ya sandcastle: g 4/11 26
jitihada za kuiga sehemu ya juu ya bawa la kipepeo: g 3/12 24
kifaa cha kufanyia upasuaji katika ubongo kimeundwa kwa kuiga mrija wa nyigu anayetoboa miti: g 3/11 25
kifaa kinachoweza kuhimili mshtuko kimetengenezwa kwa kuiga kichwa cha kigogota: g 1/12 19
kunasa ukungu kwa kumwiga mbawakawa wa Namib: g 5/12 22
kutengeneza vifaa vinavyoweza kusambaza mwangaza kwa kuiga kombe la konokono anayeitwa clusterwink: g 6/12 18
kuzalisha umeme kwa kuiga njia ya kuogelea ya samoni: g 12/10 25
macho ya wadudu: g 3/08 26; g02 9/22 28
nondo: g 7/10 30
maelezo: lc 11-17; g 9/06 4-6; w04 10/1 9, 11; g00 1/22 3-8
magari ya roboti yametengenezwa kwa kuiga tabia ya kikundi cha samaki wanaoogelea pamoja: g 9/12 19
mchwa wanavyosawazisha joto katika vilima vyao: g 6/08 25
mkono wa roboti uliotengenezwa kwa kuiga mkonga wa tembo: g 4/12 24
mpangilio wa waari wanaoruka unaigwa na marubani wa ndege (chombo): g05 9/8 8-9
nanga zilizo na umbo la chaza aina ya razor: g 9/10 23
ndege (chombo) imeundwa kwa kuiga muundo wa mwili wa ndege (kiumbe): g 3/10 5
ngozi ya papa: g 2/10 10
nyabizi imetengenezwa kwa kuiga mfumo wa kujisukuma wa kiwavi wa baharini: g 8/12 13
ufafanuzi: g00 1/22 3
vifaa vinavyoweza kujinoa vimeundwa kwa kuiga mwanamizi wa baharini: g 11/11 16
vifaa vya kutambua miale ya infrared imetengenezwa kwa kuiga vipokezi vya mbawakawa anayeitwa black fire: g 10/12 15
vyombo vidogo sana vinavyoruka vinabuniwa kwa kuiga mabawa ya kereng’ende: g 8/10 25