Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w77 11/15 uku. 523
  • ‘Wakati Ambao Nchi Iigawanyika’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Wakati Ambao Nchi Iigawanyika’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Habari Zinazolingana
  • Mambo Makuu Kutoka Katika Kitabu cha Mwanzo—I
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Je, Lugha Zote Zilianzia Kwenye “Mnara wa Babeli”?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Kitabu cha Mwanzo Kinatia Ndani ya Moyo Imani, Tumaini na Ushujaa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Kiebrania
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
w77 11/15 uku. 523

‘Wakati Ambao Nchi Iigawanyika’

◇ Biblia inasema hivi: “Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi, maana katika siku zake nchi iligawanyika.” (Mwa. 10:25) Kulingana na vile tunavyoweza kuona katika Maandiko, mgawanyiko huo unaotajwa ulitokea wakati Yehova Mungu alipochafua lugha ya wajenzi wa Babeli na kuwatawanya. (Mwa. 11:1, 7) Jina Pelegi lina maana ya “mgawanyiko.” Lakini, inatupasa tujue kwamba mgawanyiko huo haukutokea alipozaliwa, bali “katika siku zake.” Kwa hiyo ikiwa yeye aliitwa Pelegi alipozaliwa, jina lake lilikuwa likitoa unabii wa mgawanyiko mkuu uliotukia muda wa maisha yake.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki