Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w79 11/1 uku. 19
  • Ni Nani Waliokuwa Wazao wa Misiraimu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ni Nani Waliokuwa Wazao wa Misiraimu?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
  • Habari Zinazolingana
  • Kuvuka Bahari Nyekundu (ya Shamu)
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
w79 11/1 uku. 19

Ni Nani Waliokuwa Wazao wa Misiraimu?

Mmoja wa wana wa Hamu alikuwa Misiraimu. (Mwa. 10:6, ZSB) Maandiko yanaonyesha pasipo kukosea kwamba yeye ndiye aliyekuwa babu wa Wamisri wa kale. Kwa mfano, wakati Wakanaani walipoyaona maombolezo ya matanga (mazishi) ya Wamisri katika sakafu ya Atadi, walipaita mahali hapo “Abeli-Misuraimu,” maana yake “maombolezo ya Wamisri.”​​—⁠Mwa. 50:7-10, ZSB.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki