Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w80 9/15 uku. 21
  • ‘Wanawake Kumi Wakioka Mkate Katika Tanuu Moja’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Wanawake Kumi Wakioka Mkate Katika Tanuu Moja’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Habari Zinazolingana
  • Mambo ya Walawi—Mwito wa Kuja Kwenye Ibada Takatifu ya Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Mambo ya Walawi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Je, Umeonja Mkate wa Uzima?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Tunachojifunza Kwenye Mambo ya Walawi Kuhusu Jinsi ya Kuwatendea Wengine
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
w80 9/15 uku. 21

‘Wanawake Kumi Wakioka Mkate Katika Tanuu Moja’

MMOJAWAPO wa misiba ambayo ingeipata Israeli kwa sababu ya kutoaminika unaonyeshwa katika Mambo ya Walawi 26:26: “Wanawake kumi wataoka mikate yenu katika tanuu moja.’’ Katika hali za kawaida, kila mwanamke angehitaji tanuu (joko) yake mwenyewe ya kuokea vitu vilivyohitajiwa. Walakini, maneno ya Mambo ya Walawi 26:26 yalielekeza kwenye wakati ambao katika huo chakula kipatikanacho kingekuwa kidogo sana hivi kwamba joko moja lingetosha kutumiwa na wanawake 10 katika kuoka.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki