Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w83 10/15 uku. 24
  • Kiliokoa Maisha Yake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kiliokoa Maisha Yake
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
w83 10/15 uku. 24

Kiliokoa Maisha Yake

Kijana wa miaka 18, aliyekuwa amehusika katika matata ya namna zote, aliandika hivi:

“Mimi niliacha kabisa kuwa na tumaini. Nilijiona hoi sana. Nikajaribu mara nyingi kujiua. Lakini unajua kilichoniokoa nisifanye hivyo? Ni kile kitabu kinachoitwa Furaha​—Namna ya Kuipata. Asante sana wa kitabu hicho. Machozi yanatiririka kwa wingi kila wakati ninapofikiria namna kitabu hiki kilivyonifurahisha.”

Kitabu hiki chenye kurasa 192 kinaweza kukufaidi wewe pia. Kinatoa mashauri yaliyo mazuri kuliko yote yapatikanayo juu ya kushughulika na matatizo ya pesa, ngono, jamaa, magonjwa na kifo.

Tafadhali mnipelekee kile kitabu chenye jalada gumu, Furaha​—Namna ya Kuipata. Mimi nimewapelekea Kshs. 6/50 (Tshs. 15/-, RWF 75) na ninawaomba ninyi mlipie malipo ya kukipeleka kwa posta.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki