Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w84 1/15 uku. 24
  • Kinaweza Kukuleta Karibu Zaidi na Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kinaweza Kukuleta Karibu Zaidi na Mungu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
w84 1/15 uku. 24

Kinaweza Kukuleta Karibu Zaidi na Mungu

Hivyo ndivyo alivyosema mtu mmoja juu ya kichapo kinachoitwa Furaha​—Namna ya Kuipata. Mwanamke huyo aliandika hivi:

“Nilitaka kutumia muda mchache tu niandike barua ya kuwapigia asante! Moyo wangu una maoni ya kujisikia nikiwa na ukaribu ambao sijapata kuwa nao kwa Baba yetu Yehova. Kwa sababu gani? Ni kwa sababu ya kukisoma kitabu Furaha. Kitabu hicho kimetungwa kwa njia yenye kuuchochea sana moyo.”

Wewe unaweza kupokea kichapo hicho chenye kuchochea moyo kwa kujaza hati yenye anwani iliyo hapa chini. Utalipiwa malipo ya posta.

Tafadhalini mnipelekee kile kitabu chenye jalada gumu kinachoitwa Furaha​—Namna ya Kuipata. Mimi nimewapelekea Kshs. 9/- (Tshs. 15/-).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki