Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w85 12/15 uku. 32
  • Walikiona Juu ya Dawati Yake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Walikiona Juu ya Dawati Yake
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
w85 12/15 uku. 32

Walikiona Juu ya Dawati Yake

Mfanya kazi mmoja katika uwanja wa ndege wa Milan katika Italia aliweka juu ya dawati yake nakala ya kitabu Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani, akakiacha kikiwa wazi kwenye picha iliyo katika kurasa 12 na 13. Watu walipokuwa wakipita hapo walisimama na kukitazama kitabu hicho, wakauliza wangeweza kupata nakala wapi. Rubani mmoja alijipatia kitabu hicho, akakisoma, kisha akawaonyesha wafanya kazi wake wa ndege. Alirudi akaagiza nakala 37. Mwezi mmoja baadaye akaomba nakala 48 zaidi apelekee marubani wengine na wafanya kazi wao wa ndege. Baada ya muda fulani, mfanya kazi huyo alikuwa amewatafutia vitabu 120 wafanya kazi wengine katika uwanja wa ndege.

Sisi tunaona kwamba wewe, pia, utafurahia kichapo hicho cha kupendeza sana. Kurasa zacho 256, zilizo na ukubwa kama wa gazeti hili, zimejawa na picha zaidi ya 150 zenye mafunzo, na nyingi zazo zina rangi nzuri sana. Utajua jinsi unavyoweza kuwa kati ya wale watakaoishi milele katika Paradiso duniani. Agiza sasa. Ni Kshs. 35.00 tu (Tshs. 100.00; RWF 250).

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, kile kitabu kinachoitwa Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Mimi nimewapelekea Kshs. 35.00 (au Tshs. 100.00; RWF 250).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki