Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w86 9/1 uku. 32
  • Hazina ya Kugawana na Wengine

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Hazina ya Kugawana na Wengine
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
w86 9/1 uku. 32

Hazina ya Kugawana na Wengine

Hivyo ndivyo anavyohisi mwanafunzi wa miaka 15 wa shule ya Sekondari katika Ohio, U.S.A., juu ya kile kichapo cha hivi majuzi, Life​—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Msichana huyo anaandika hivi:

“Ikiwa vitu vizuri vinachukua muda kufanyika, bila shaka ilichukua umilele kukikusanya kitabu hiki chenye picha za kupendeza kilicho rahisi kueleweka. Hicho kinaziteka kabisa fikira za mtu! Mimi najifunza sura moja kwa siku na kujikuta nikisema laiti ningalikuwa na wakati mwingi zaidi wa kutumia kujifunza kibinafsi msaada huu ulio mzuri ajabu.”

“Tayari mimi nimefanya orodha ya rafiki na walimu ambao wangefurahia kichapo hiki. Shule itakapoanza mwezi unaokuja, nitakuwa na pendeleo la kushiriki nao hazina yangu.”

Labda wewe una maoni yanayofanana na ya kijana huyo juu ya kitabu kile kipya Creation. Je! wewe unajua mtu fulani ambaye ungependa ushiriki naye hazina hiyo? Mbona usimpelekee nakala ya zawadi? Unaweza kufanya hivyo kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyopo chini, uipeleke kwetu pamoja na Kshs. 35.00 (Tshs. 100.00).

Tafadhali mpelekeeni mtu huyu nakala ya zawadi ya kile kitabu cha kurasa 256 kinachoitwa Life​—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation?, na pia barua ya kueleza kwamba hii ni zawadi kutoka kwa‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐(Jina lako). Mimi nimewapelekea Kshs. 35.00 (Tshs. 100.00)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki