Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w87 1/1 uku. 32
  • Mifano Ambayo Inatia Moyo Kuwa na Uaminifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mifano Ambayo Inatia Moyo Kuwa na Uaminifu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
w87 1/1 uku. 32

Mifano Ambayo Inatia Moyo Kuwa na Uaminifu

Je! Madaraka ya maisha ya kila siku yanapata kukulemea wewe, yakikunyang’anya wewe furaha na kukufanya uache kuona mambo kama ipasavyo? Yanaweza kufanya hivyo, Suluhisho ni nini? Mwanamke mmoja kutoka Kentucky, U.S.A. anaandika hivi:

“Mimi nilikuwa nimeshuka moyo sana, nikifanya wasiwasi juu ya mambo mengi sana madogo. Baada ya kusoma Kitabu cha Mwaka, nilihisi nikiwa mwenye hatia sana. Ndugu na dada wale wote Wakristo walipitia mambo mengi sana na bado wakabaki waaminifu. Kitabu hicho kimenisaidia sana. Asanteni, kwa mara nyingine!”

Sasa Kitabu cha Mwaka 1987 (kwa Kiingereza) kinapatikana kikiwa na masimulizi mengi ya kusisimua juu ya Wakristo wenye kudumisha uaminifu kwa Mungu—katika Uswisi, Liechtenstein, Trinidad, Tobago, Puerto Rico, Virgin Islands, na nchi nyingine kuzunguka dunia. Usikose kukisoma! Peleka maombi ya nakala yako leo.

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, Kitabu cha Mwaka 1987 (kwa Kiingereza); nimewapelekea Kshs. 14/- (Tshs. 35/-).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki