Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w87 4/1 uku. 32
  • Ukumbusho Aprili 12

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukumbusho Aprili 12
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
w87 4/1 uku. 32

Ukumbusho Aprili 12

“Vilevile, yeye alichukua mkate mmoja, akatoa shukrani, akauvunja, na akawapa, akisema: ‘Huu maana yake ni mwili wangu ambao utatolewa kwa ajili ya ninyi. Endeleeni kufanya hivi katika kunikumbuka mimi. Pia, kikombe kwa njia ile ile baada ya wao kula chakula cha jioni, yeye akisema: ‘Kikombe hiki kinamaanisha lile agano jipya kwa uwezo wa damu yangu, ambayo ilamwagwa chini kwa ajili yenu.’”​—Luka 22:19, 20, NW.

Mashahidi wa Yehova wanakualika uwepo kwa ajili ya kushika mwadhimisho huu wa Ukumbusho wa maana sana. Mwaka huu tarehe kwenye kalenda yetu inayolingana na ile siku aliyokufa Yesu ni Jumapili, Aprili 12, baada ya jua kutua. Mnaweza kuhudhuria jioni hiyo kwenye Jumba la Ufalme lililo karibu na nyumbani kwako. Onana na Mashahidi wa Yehova wa kwenu ujue saa barabara.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki