Je! Wewe Uliyakosa?
■ Je! Wafu Wako Hai?
■ Kung’ang’ania Mamlaka ya Duniani Pote—Ni Nani Atakayeshinda?
■ Je! Sisi Tunaishi Katika “Wakati wa Mwisho”?
■ UKIMWI—Ni Nani Walio Hatarini? Wewe Unaweza Kujilindaje Mwenyewe?
■ Uvamizi-haramu—Je! Ye Yote Yuko Salama?
■ Kunywa Pombe na Kuendesha Gari
Zilizo juu ni habari chache tu kati ya zile zilizozungumzwa katika gazeti Mnara wa Mlinzi na jenzi lalo Amkeni!, wakati wa mwaka uliopita, nazo zinaonyesha namna ya habari unazopangiwa wewe katika miezi iliyo mbele.
Msimamizi wa elimu ya dreva, akionyesha ubora wa gazeti Amkeni!, alijipatia nakala ya toleo lenye kusema “Kunywa Pombe na Kuendesha Gari,” aliagiza nakala zaidi ya 400 kwa matumizi katika mpango wao wa Programu ya Elimu ya Dreva.
USIIKOSE MIEZI 12 INAYOKUJA
Tafadhali mnipelekee andikisho la mwaka mmoja kwa magazeti Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mimi nimewapelekea Kshs. 97/- (Tshs. 270/-).