Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w87 5/15 uku. 32
  • Yeye Aliagiza Nakala 50!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yeye Aliagiza Nakala 50!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
w87 5/15 uku. 32

Yeye Aliagiza Nakala 50!

Wakati kitabu Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? kilipotolewa miaka miwili iliyopita, mwanamke mmoja katika Uingereza alifikiri ingekuwa zawadi bora kwa mjomba wake, mwanamume mashuhuri mfanya biashara mwenye umri wa miaka 84 katika eneo la Yorkshire. Hivyo akampa nakala moja.

Katika muda wa juma moja mwanamume huyo alimpigia simu na kusema: “Ni kizuri ajabu, kitabu kile ni kizuri ajabu! Je! unaweza kunipatia nakala zaidi? Mimi ningependa kuzitoa kama zawadi kwa wafanya biashara wenzangu.”

Ni nakala 25 tu zilizoweza kupatikana mara hiyo, naye akazigawa upesi miongoni mwa washiriki wake. Lakini alitaka 25 zaidi. Hizo zikapatikana upesi, naye akazitoa hizo kwa wenzake pia—50 kwa ujumla!

Pengine wewe unahisi juu ya kitabu Creation kwa njia iyo hiyo aliyohisi mwanabiashara huyo. Je! wewe unajua mtu fulani ambaye ungependa kushiriki pamoja naye kichapo hiki kizuri ajabu? Kwa sababu gani usimpelekee mtu huyo nakala iliyo zawadi? Unaweza kufanya hivyo kwa kujaza tu na kupeleka hati iliyo hapa chini, na kutia ndani Kshs. 40/-tu. (Tshs. 110/-)

Tafadhali mpelekeeni, mkiwa mmelipia gharama ya posta, nakala zawadi ya kitabu chenye kurasa 256 Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? pamoja na barua ikieleza kwamba ni zawadi kutoka kwa ‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐ (jina lako). Nimetia ndani Kshs. 40/- tu. (Tshs. 110/-)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki