Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 9/15 uku. 32
  • Msaada Mzuri Ajabu wa Kufunzia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msaada Mzuri Ajabu wa Kufunzia
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 9/15 uku. 32

Msaada Mzuri Ajabu wa Kufunzia

MTOTO mdogo anaweza kukumbuka mambo mengi zaidi ya vile wewe unafikiri. Katika barua moja ya asante kwa ajili ya kanda za kaseti za Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia, mama mmoja kutoka Florida, (U.S.A.) anaandika hivi juu ya mwana wake wa miaka mitano:

“Wewe ukimwuliza namba yenyewe tu, yeye anajua hadithi hiyo inasema nini. Yeye bado hawezi kusoma lakini ametia katika kumbukumbu yake hadithi zile na anaweza kuzisema kwa kukariri. Watu wameniambia watoto wao hawataenda kulala bila kuwa na blanketi au vitu vya kuchezea. Wangu mimi hawawezi kwenda kulala bila kuwa amefungulia ukanda wake. Yeye husikiliza hadithi hizo wakati wote. Yeye hulala kila usiku akizisikiliza. Hii ni picha yake akiwa anazisikiliza.”

Kusikiliza kaseti za zile hadithi 116 zilizo katika Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia kutasaidia wachanga wajifunze yanayohusika katika Biblia. Je! wewe unatumia msaada huu mzuri sana wa kufunzia? Ile pakiti yenye kaseti nne ni Kshs. 150.00 (Tshs. 640.00; RWF 800) tu; urefu wa wakati wa kuzifungulia ni saa tano na nusu.

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, ile pakiti ya rangi ya kahawia yenye kanda za kaseti nne za Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia. Mimi nawapelekea Kshs. 150.00 (Tshs. 640.00).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki