Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w89 12/15 uku. 31
  • Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1989

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1989
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
  • Vichwa vidogo
  • BIBLIA
  • MAISHA NA HUDUMA YA YESU
  • MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO
  • MAKALA KUU ZA MAFUNZO
  • MAMBO MENGINE
  • MASHAHIDI WA YEHOVA
  • MASIMULIZI YA MAISHA YA WATU
  • MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI
  • MUONO-NDANI JUU YA HABARI
  • TAMASHA ZA KUTOKA BARA LA AHADI
  • WAPIGA MBIU YA UFALME WARIPOTI
  • YEHOVA
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
w89 12/15 uku. 31

Faharisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 1989

Ikionyesha tarehe ya toleo ambamo makala yaonekana

BIBLIA

Amosi, 4/1

Habakuki, 5/15

Hagai, 6/1

Hosea, 3/1

Ithibati za Kwamba Ni la Kweli, 2/1

Luka, 11/15

Malaki, 7/1

Marko, 10/15

Mathayo, 7/15

Mika, 5/1

Nahumu, 5/15

Obadia, 4/15

Sefania, 6/1

Yoeli, 3/15

Yona, 4/15

Zekaria, 6/15

MAISHA NA HUDUMA YA YESU

(Makala zinatokea katika kila toleo.)

MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO

“Kabla ya Utukufu Kuna Unyenyekevu,” 6/15

“Kujibu kwa Njia ya Unyoofu,” 11/1

Kupata Shangwe ya Muziki—Ni Nini Ufunguo? 6/1

Kwa Nini Tunapaswa Kuhofu Mungu? 1/1

‘Lakini Mimi Sipendi Yehova’ 7/15 Mahari, 1/15

Maoni Yako Binafsi Ndiyo Hutawala Yote? 2/15

‘Mtihani wa Unyofu wa Upendo Wako,’ 12/1

‘Nena Neno la Mungu kwa Ujasiri,’ 11/1

Wewe Huona Sura ya Nje-Nje Tu? 11/1

‘Yehova Asipoijenga Nyumba .. . 10/1

MAKALA KUU ZA MAFUNZO

Abrahamu—Kielelezo kwa Wote Wanaotafuta Urafiki wa Mungu, 7/1

Abudu Muumba, Si Kilichoumbwa, 5/1

“Amejaa Majina ya Kufuru,” 9/1

Dini Bandia Yafanya Ukahaba, 4/15

Dumisha Imani na Afya Yako ya Kiroho, 10/1

Fanya Mambo Yote kwa Ajili ya Habari Njema, 11/15

Haki Hutia Alama Njia Zote za Mungu, 3/1

Haki Karibuni kwa Ajili ya Mataifa Yote, 3/1

Haki kwa Wote Kupitia Hakimu Mwekwa wa Mungu, 2/15

Ishi Maisha Yenye Usawaziko, Yaliyo Sahili, 7/15

“Jiendesheni kwa Namna Inayozistahili Habari Njema,” 6/15

Jinsi Porojo Zenye Kudhuru Zaweza Kukandamizwa Kabisa, 10/15

Jinsi Ubatizo Unavyoweza Kutuokoa Sisi, 1/15

Kahaba Mwenye Sifa Mbaya Sana—Anguko Lake, 4/15

Kahaba Mwenye Sifa Mbaya Sana—Uharibifu Wake, 4/15

Kubaki Tukiwa Tumejipanga Kitengenezo Ili Tuokoke Kuingia Katika Mileani, 9/1

Kuifungua Njia ya Kurudi Kwenye Paradiso, 8/15

Kujipanga Kitengenezo Sasa kwa Ajili ya Miaka Elfu Itakayokuja, 9/1

Kukamilisha Utakatifu Katika Kumhofu Mungu, 6/1

Kuonyesha Upendo na Staha Ukiwa Mke, 5/15

Kuonyesha Upendo na Staha Ukiwa Mume, 5/15

‘Kupata Burudisho la Nafsi Zenu,’ 7/15

Kusitawisha Adabu za Kikristo Katika Ulimwengu Usio na Adabu, 6/15

Kwa Nini Sisi Twahitaji Maarifa Sahihi, 12/1

Linda Dhidi ya Porojo Zenye Kudhuru! 10/15

Maagano Yanayohusisha Kusudi la Milele la Mungu, 2/1

Maana ya Kumpenda Mungu, 5/1

Matazamio Mazuri Ajabu ya Kibinadamu Katika Paradiso Yenye Ufurahishi, 8/1

Matazamio ya Paradiso Ni Halali Kujapokuwako Kutotii kwa Kibinadamu, 8/1

‘Mkono wa Yehova Ulikuwa Pamoja Nao,’ 1/1

Msijifunge Nira Pamoja na Wasioamini, 11/1

Mungu Akusudia Kwamba Mwanadamu Aone Shangwe ya Maisha Katika Paradiso, 8/1

Muono-Ndani Ambao Yehova Ametoa, 3/15

Ndoa Ambayo Inanufaisha Mamilioni Wanaoishi Sasa, 7/1

Ni Nani Tunayeweza Kutegemea kwa Haki ya Kweli? 2/15

Ni Nini Kinachokuzuia Wewe Usibatizwe? 1/15

Paradiso Iliyorudishwa Yamtukuza Mungu, 8/15

Pendezwa Kibinafsi na Wengine, 11/15

Saa ya Hukumu ya Mungu Imewasili, 4/1

Sikia Ambacho Roho Husema kwa Makundi, 4/1

Tegemea Yehova Uwe na Muono-Ndani, 3/15

Toa Ushahidi kwa Ajili ya Yehova na Usichoke, 12/15

Toeni Dhabihu Ambazo Zampendeza Yehova, 12/15

Usafi wa Kiadili Ndio Uzuri wa Ujana, 11/1

Uwe Safi Katika Akili na Mwili, 6/1

Uzuri wa Kweli—Wewe Unaweza Kuusitawisha, 2/1

‘Vita Ni vya Yehova,’ 1/1

Watiini Wale Wanaotoa Uongozi, 9/15

Wazee—Ilindeni Amana Yenu, 9/15

Wazee—Litendeeni Kundi la Mungu kwa Wororo! 9/15

Wenye Muungamano Chini ya Beramu ya Upendo,1/1

Wewe Hutafuta Hazina Zilizofichika? 12/1

Wewe Utanufaika na Maagano ya Mungu? 2/1

Wewe Walaani Vikali Ulimwengu Kupitia Imani Yako? 10/1

Yehova Ndiye Msaidiaji Wangu, 12/15

MAMBO MENGINE

Abrahamu—Mnabii na Rafiki ya Mungu, 7/1

Akili lliyofunguka Kupokea Mawazo Mapya? 1/15

Amani kwa Kuondoa Silaha? 12/15

“Amejaa Majina ya Kukufuru,” 9/1

Amri Kumi, 11/15

Asili ya Helo, 10/1

Babuloni—Kitovu cha Ibada Bandia, 4/1

Babuloni Mkubwa Ashtakiwa Hatia, 4/15

Babuloni Mkubwa—Kaanguka na Kuhukumiwa, 5/1

Babuloni Mkubwa—Kuuawa Kwake, 5/15

Desturi za Kingono Zenye Kuchukiza, 9/1

Endelea Kutafuta kama Hazina Zilizofichika, 3/15

Fumbo la Kodeksi ya Vatikani, 5/1

Fumbo—Ni Nani Babuloni Mkubwa? 4/1

Haki kwa Wote—Kuna Wakati Itakuja? 2/15

Helo lna Moto? 10/1

Hofu Ni Mbaya Sikuzote? 6/1

“Insight on the Scriptures”—Ensaiklopedia Mpya ya Biblia, 3/15

Jambo Ambalo Ni Lazima Tufanye Ili Tuokolewe, 9/15

Kahaba Afichuliwa, 4/1

Kahaba na “Wafalme wa Dunia,” 4/1

Kaisaria na Wakristo wa Mapema, 3/15

Kanuni ya Kidhahabu, 11/1

Kazi Ambayo Yaweza Kukufurahisha, 7/15

Kwa Nini Kuhofu Mungu, Si Wanadamu? 6/1

Mungu Ataondoa Ukosefu wa Haki? 10/15

Mwisho wa Uhalifu Ni Karibu! 8/15

“Ni Lazima Mimi Nifanye Nini Nipate Kuokoka?” 9/15

Ni Nani Anayeweza Kuwa Rafiki ya Mungu? 9/15

Ni Nani kwa Kweli Walio Wahudumu wa Mungu? 3/1

“Ole Wako, Korazini!”—Kwa Nini? 7/1

Ripoti Sahihi ya Shahidi Aliyeona kwa Macho! 3/15

Sasa Mwisho wa Uhalifu Uko Karibu! 8/15

“Siku ya Mtakatifu Nicholas,” 12/15

Tatanisho la Kikatoliki, 4/15

Tumaini kwa Wafu? 10/15

‘Tunajua Watainuka Katika Ufufuo,’ 6/15

Tutapata Kuwaona Tena? 6/15

Ufufuo—Kwa Ajili ya Nani na Wakati Gani? 10/15

Ukweli Kuhusu Helo, 10/1

Unaweza Kupata Hazina Zisizohesabika! 3/15

Utawala wa Makasisi—Je! Ndilo Jibu? 9/1

Utawala wa Mungu—Njia Bora Zaidi, 9/1

Ujuzi, 2/1

‘Wasiotambua Mungu na Waangamie!’ (Polycarp), 11/15

Wewe Huenda Wapi Kutafuta Ushauri? 8/1

Wewe Una Maoni Gani Kuhusu Amri Kumi? 11/15

Wewe Una Nia ya Kumsikiliza Mungu? 8/1

MASHAHIDI WA YEHOVA

Barabara ya Kifo Kuja Kwenye Barabara ya Uhai (R. Polotti), 8/1

Bara la Ndege Kipilipili Lausikia “Wimbo Mpya” (Liberia), 5/15

Eneo la Zamani Zaidi Duniani (Israeli), 7/15

Ghasia za Umati Haziwezi Kuzuia Habari Njema (Venezuela), 11/15

Haki ya Kimungu” Mikusanyiko ya Wilaya, 1/15

Insight on the Scriptures, 3/15

Jinsi ya Kufaulu Katika Huduma ya Painia, 5/15

Jinsi ya Kutambua Wahudumu wa Kweli wa Mungu,3/1

Kubaki Tukiwa Tumejipanga Kitengenezo Ili Tuokoke Kuingia Katika Mileani, 9/1

Kujipanga Kitengenezo Sasa kwa Ajili ya Miaka Elfu Itakayokuja, 9/1

Kupiga Mbiu ya Ufalme Katika Malesia, 3/15

Kushinda Tatizo la Eneo Lililo la Zamani Zaidi Duniani, 7/15

Kutoka Kwenye Barabara ya Kifo Kuja Kwenye Barabara ya Uhai (R. Polotti). 8/1

Maamuzi ya Moyo Mkuu Katika Suriname, 10/15

Mahitimu ya Gileadi, 6/1, 12/1

Makao Mapya kwa Shule ya Gileadi, 6/1

Mambo Makubwa Yanatukia Katika Luxembourg, 2/15

Mkusanyo Waleta Mshangilio Katika Japani, 11/1

Mnyanyaso Katika Burundi, 8/15

Ripoti ya Mwaka wa Utumishi, 1/1

‘Sauti Yao Ilitoka Ikaenea Katika Dunia Yote, 1/1

“Ujitoaji Kimungu” Mikusanyiko ya Wilaya, 2/15, 5/1

Vinaweza Kukusaidia Wewe Kuhubiri (Fasihi), 2/15

Waguatemala Wazipokea Habari Njema kwa Furaha, 8/15

Wahudumu wa Mungu Ni Nani Hasa? 3/1

Wakati wa Mavuno Katika Greenland, 11/15

Wavenezuela Wajifunza Kumtegemea Yehova, 6/15

MASIMULIZI YA MAISHA YA WATU

Kazi-Maisha Iliyo Nzuri Sana—Miaka 57 ya Maisha ya Kimisionari (E. Cooke), 4/1

Kufanya Utumishi wa Wakati Wote Uwe Kazi-Maisha (M. Larson), 9/1

Kupata Uhuru Katika “Kisiwa cha Wanaume Wapweke” (D. Robinson), 6/1

Kupata Sikuzote Jambo la Kumfanyia Yehova (J. Queyroi), 10/1

Kupata Upatano wa Jamii za Rangi Tofauti-tofauti Katika Afrika Kusini Yenye Matata (M. Mehl), 7/1

Mimi Nilipanda Mlima Ulio Mzuri Kuliko Yote, 12/1

Msaada Bora Zaidi wa Kujulia Wakati Ujao, 12/1

Tukifanya Penzi la Mungu, Yeye Hatatuacha Sisi Kamwe (G. Schmidt), 2/1

Yehova Amekuwa Kimbilio Langu na Ngome Yangu (M. West), 3/1

Yehova Amenitegemeza Kama Rafiki (M. Hombach), 5/1

MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI

Agano la Sheria liliisha lini, mahali palo pakachukuliwa na jingine? 2/1

Kunena na aliyekuwa mhubiri asiyebatizwa? 2/15

‘Hapana nyota moja isiyokuwapo mahali pake’? (Isa 40:26), 9/15

‘Hawangekufa kabisa’ jinsi gani? (Yoh 11:26), 1/15

Kutia damu ya mtu mwenyewe mishipani kwakubalika? 3/1

Kwa nini bikira aliyetongozwa hangeweza kutalikiwa kamwe? 11/15

Mwanafunzi wa Biblia katika huduma akiwa mtazamaji? 12/1

Paulo alihukumu mapema kwa ukabila? (Tito 1:12, 13), 5/15

Sheria ilimalizwa lini, mahali payo pakachukuliwa?2/1

Tiketi za bahati-nasibu, 7/15

Umri wa kiwango cha chini zaidi kwa watumishi wa huduma? 7/1

Uprotestanti una unajisi mwingi kuliko Ukatoliki? 4/1

Vibonge vya kupanga uzazi? 6/15

Wakristo wa karne ya kwanza walitarajia mwisho wakati huo? 10/1

“Wanawake wenye huruma” (Omb 4:10), 8/1

Watoto wa wazee (Tito 1:6), 2/15

Yehova hutumia viini-macho, udanganyifu? (Yer 4:10; 20:7), 5/1

Yesu—Mpatanishi kwa ajili ya nani? 8/15

MUONO-NDANI JUU YA HABARI

(1/15, 2/15, 3/15, 4/15, 5/15, 6/15, 7/15, 9/15, 10/15, 11/15, 12/15

TAMASHA ZA KUTOKA BARA LA AHADI

Bashani—Chanzo Chenye Rutuba, 5/1 Jangwa la Yuda, 11/1

Mataifa Yakusanyika Megido, 1/1 “Ole Wako Korazini!”—Kwa Nini? 7/1

Yafa—Bandari ya Kale Yenye Sifa, 9/1

Yerusalemu—Kitovu cha Matukio ya Kibiblia, 3/1

WAPIGA MBIU YA UFALME WARIPOTI

1/1, 2/1, 3/1, 4/1, 6/1, 7/1, 8/1, 9/1, 10/1, 11/1

YEHOVA

Wema, 12/1

Yule Msanii Mkuu, 1/15

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki