Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w90 9/15 uku. 32
  • Wakati Babu Yake Alipokufa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wakati Babu Yake Alipokufa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
w90 9/15 uku. 32

Wakati Babu Yake Alipokufa

Mama mmoja kutoka Ufuo wa Virginia, Virginia, aliandika hivi mapema mwakani: “Mwezi uliopita nilifiwa na baba yangu. Yeye na mwana wangu mchanga kabisa walikuwa na ukaribu mwingi, ujapokuwa ule umbali uliowatenganisha. Nilipomwarifu kwamba babu yake amekufa, alianza kulia kihuzuni.

“Nilitafuta haraka ile trakti Kuna Tumaini Gani kwa Wapendwa Waliokufa? Mara nilipoipata, uso wake ungali na machozi, nilianza kumsomea. Nilipomaliza, alikuwa mtulivu zaidi. Asanteni kwa habari hizo zenye thamani, zilizofaa sana wakati huo wa maumivu.”

Wewe waweza kupokea trakti hiyo yenye kufariji, pamoja na nyinginezo, kwa kujaza na kupeleka tu hati yenye anwani iliyoambatanishwa.

Mimi ningependa kuipokea trakti Kuna Tumaini Gani kwa Wapendwa Waliokufa? pamoja na nyinginezo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki