Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w91 3/15 uku. 32
  • Mamilioni Wanakwenda. Wewe Je?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mamilioni Wanakwenda. Wewe Je?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
w91 3/15 uku. 32

Mamilioni Wanakwenda. Wewe Je?

Wanakwenda wapi? Kwenye ukumbusho wa kila mwaka wa kifo cha Yesu Kristo.Katika 1990 jumla ya 9,950,058 walihudhuria ulimwenguni pote.Kwa nini watu wanaenda? Kwa sababu ya kile ambacho kifo cha Kristo kinamaanisha kwa ainabinadamu.Kinamaanisha kuondolewa karibuni sana kwa ugonjwa, kuteseka, na kifo.Hata wapendwa waliokufa watafufuliwa kwenye uhai katika dunia iliyorudishwa kuwa Paradiso.Kifo cha Yesu kinaweza kuletaje mibaraka kama hiyo? Unaalikwa upate kujua.Mashahidi wa Yehova wanakualika uungane nao wakati wa tukio hilo lenye maana.Hudhuria kwenye Jumba la Ufalme lililo karibu zaidi na kwako.Mwaka huu tarehe ni Jumamosi, Machi 30, baada ya jua kushuka.Thibitisha na Mashahidi wa kwenu juu ya wakati halisi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki