Ni Gazeti Jipi La Kidini Lililo Na Mwenezo Mkubwa Zaidi? Ni “Mnara Wa Mlinzi”!
Sasa nakala zaidi ya milioni 15 za kila toleo la Mnara wa Mlinzi huchapwa katika lugha zaidi ya mia moja. Wewe waweza kupokea Mnara wa Mlinzi katika yoyote ya lugha zilizoorodheshwa kwenye ukurasa wa 2. Ukitaka kupokea Mnara wa Mlinzi, linalochapishwa mara mbili kwa mwezi, tafadhali jaza na kupeleka hati-anwani hii yenye kuandama.
Ningependa kupelekewa gazeti Mnara wa Mlinzi nyumbani kwangu.