Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w94 3/1 uku. 32
  • “Acheni Tusome Zaidi Kabla ya Kudhihaki”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Acheni Tusome Zaidi Kabla ya Kudhihaki”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
w94 3/1 uku. 32

“Acheni Tusome Zaidi Kabla ya Kudhihaki”

NDIVYO mtu mmoja kutoka New Zealand alivyosema kuhusu Mnara wa Mlinzi, gazeti unalosoma. Mtu huyo aliandika hivi kuhusiana na makala moja juu ya gari-farasi la kimbingu la Mungu linalofafanuliwa katika Ezekieli sura ya 1:

“Kila moja ya viumbe hai hivyo vinne, au makerubi, kilikuwa na mabawa manne na nyuso nne. Vilikuwa na uso wa simba, ukionyesha haki ya Yehova; uso wa fahali, ukiwakilisha nguvu za Mungu; uso wa tai, ukimaanisha hekima yake; na uso wa mwanadamu, ukionyesha upendo wa Yehova.

“Baada ya kusoma hilo tena na tena, nilikuwa na hisia changamfu moyoni mwangu. Machozi ya shangwe yalikuja machoni pangu. Mara iyo hiyo fikira zangu zilikuwa, ‘Ni lazima uwe mzuri na mwenye kupendeza kama nini, Ee Yehova!’ Nimeshangaa sana juu ya hizi hisia zangu mpya kumwelekea Yehova Mungu ambaye nimemdhihaki kwa miaka mingi, nikiwa mlimwengu jinsi nilivyo. Nasema ‘asante’ kwa Mashahidi wa Yehova, na kwa wale wengi walio kama mimi, nasema, ‘Acheni tusome zaidi kabla ya kudhihaki.’”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki