Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w94 7/1 uku. 32
  • Wao Wajiunga na Udugu Ulioungana

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wao Wajiunga na Udugu Ulioungana
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
w94 7/1 uku. 32

Wao Wajiunga na Udugu Ulioungana

Ilikuwa Agosti 7, 1993, katika Stediamu ya Republican katika Kiev, Ukrainia. Wale wahudhuriaji wazidio 64,000, walikuwa na matazamio mengi wakati huo ulipofika. Kisha, kwa kujibu maswali mawili muhimu, maelfu walijibu “Da!” (“Ndiyo!”) Kwa njia hiyo, wakionyesha peupe imani yao kisha wakaenda kuonyesha wakfu wao kwa Yehova Mungu kwa kubatizwa katika mojapo vidimbwi sita vilivyokuwa katika stediamu.—Mathayo 28:19.

Hivyo, kwenye siku hiyo ya tatu ya “Ufundishaji wa Kimungu” Mkusanyiko wa Kimataifa wa Mashahidi wa Yehova, wahudhuriaji waliona tukio lenye kutazamisha sana: watu 7,402 walibatizwa nao wakawa sehemu ya kutaniko la Kikristo lililoungana ulimwenguni pote bali si sehemu ya kanisa lililogawanyika.

Ikiwa ungependa kujifunza zaidi juu ya muungano wa kweli wa Kikristo, tafadhali andikia I.B.S.A., Box 47788, Nairobi, Kenya, au tumia anwani ifaayo kwenye ukurasa 2.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki