Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w96 3/15 uku. 32
  • Tukio Usilopaswa Kukosa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tukio Usilopaswa Kukosa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
w96 3/15 uku. 32

Tukio Usilopaswa Kukosa

“Kila zawadi njema na kila upaji mkamilifu” hutoka kwa Mungu, Baba yetu wa kimbingu. (Yak. 1:17, NW) Zawadi kubwa kupita zote ambayo Mungu amewapa wanadamu wenye dhambi ni uandalizi wa kuondolewa dhambi kupitia Mwana wake mzaliwa-pekee, Yesu Kristo. Kifo cha Yesu akiwa Mfidi wetu hufanya tuweze kupata uhai udumuo milele katika dunia iliyo paradiso. Kwenye Luka 22:19, twaamuriwa tukikumbuke kifo chake.

Mashahidi wa Yehova wanakualika kwa uchangamfu ushiriki pamoja nao kutii amri ya Yesu. Mwadhimisho huu wa kila mwaka utakuwa baada ya jua kushuka kwenye tarehe inayolingana na Nisani 14 kwenye kalenda-mwezi ya Biblia, itakayokuwa Jumanne, Aprili 2, 1996. Tia alama tarehe hii ili usiisahau. Mashahidi wa Yehova katika eneo lako watakuambia mahali na wakati hasa wa mkutano huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki