Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w01 12/15 uku. 31
  • Faharisi ya Habari za Mnara Wa Mlinzi 2001

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Faharisi ya Habari za Mnara Wa Mlinzi 2001
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Vichwa vidogo
  • BIBLIA
  • MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO
  • MAKALA KUU ZA MAFUNZO
  • MAMBO MENGINE
  • MASHAHIDI WA YEHOVA
  • MASIMULIZI YA MAISHA
  • MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI
  • RIPOTI YA WATANGAZAJI WA UFALME
  • YEHOVA
  • YESU KRISTO
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
w01 12/15 uku. 31

Faharisi ya Habari za Mnara Wa Mlinzi 2001

Ikionyesha tarehe ya toleo ambamo makala inapatikana

BIBLIA

Biblia Yafanywa Kuwa Buku Moja, 5/1

Cyril na Methodius—Watafsiri, 3/1

Hati-Kunjo za Bahari ya Chumvi, 2/15

Kuielewa Biblia, 7/1

Kwa Nini Ujifunze, 7/1

Tafsiri ya New World Translation Inathaminiwa, 11/15

MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO

‘Baraka kwa Waadilifu’ (Mit 10), 7/15

“Baraka ya BWANA Hutajirisha,” 11/1

Epuka Ugonjwa wa Moyo wa Mfano, 12/1

‘Heri Mtu Aonaye Hekima’ (Mit 8), 3/15

Imarisha Tumaini Katika Yehova, 6/1

Je, Wewe Ni Mvumilivu Kweli? 7/15

‘Kimbieni kwa Njia Hiyo,’ 1/1

Kufanikiwa Licha ya Malezi, 4/15

Kufanya Maamuzi ya Hekima, 9/1

Kukabiliana na Kivunja-Moyo! 2/1

Kukabiliana na Kuvunjika Moyo, 4/15

‘Kununua Kabisa Wakati Unaofaa,’ 5/1

Kushughulika na Unafiki, 11/15

Kuwasaidia Wajane, 5/1

‘Kwa Hekima Siku Zitazidishwa’ (Mit 9), 5/15

Linda Dhamiri, 11/1

Mazoea, 8/1

Shaka, 7/1

Shinda Vikwazo Vinavyokuzuia Usifanye Maendeleo, 8/1

Sitawisha Wema wa Adili, 1/15

Tembea Katika ‘Njia ya Unyofu’ (Mit 10) 9/15

Timizeni Mahitaji ya Watoto Wenu! 12/15

Uaminifu-Mshikamanifu, 10/1

Unahisi Umeeleweka Vibaya? 4/1

Ungamo, 6/1

Utii—Somo Muhimu Utotoni, 4/1

Watazame Mayatima na Wajane, 6/15

MAKALA KUU ZA MAFUNZO

Abrahamu—Kielelezo cha Imani, 8/15

Amani ya Kristo Inawezaje Kudhibiti Mioyoni Mwetu? 9/1

Baraka za Yehova Hututajirisha, 9/15

Dhihirisha Maendeleo Yako, 8/1

Dumisha Shangwe Yako Katika Utumishi wa Yehova, 5/1

Enda Sambamba na Tengenezo la Yehova, 1/15

Endeleeni Katika Kazi ya Kuvuna! 7/15

Endeleeni Mkiwa Imara Kama Ambao Mnaona Yeye Asiyeonekana! 6/15

Hofu Yehova na Kushika Amri Zake, 12/1

“Ikiwa Mungu Yuko Upande Wetu, Nani Atakayekuwa Dhidi Yetu?” 6/1

Iweni Wavunaji Wenye Furaha! 7/15

Je, Unaweza “Kutofautisha Lililo Sahihi na Lililo Kosa Pia”? 8/1

Je, Utapata Baraka za Yehova? 9/15

Jipatie Moyo Unaompendeza Yehova, 10/15

‘Jivikeni Wenyewe Ustahimilivu,’ 11/1

Kitulizo Kinachofaa cha Mkazo, 12/15

Kujenga Familia Yenye Nguvu Kiroho, 5/15

Kushinda Udhaifu wa Kibinadamu, 3/15

Kusonga Mbele Hadi Ushindi Kamili! 6/1

Linda Moyo Wako, 10/15

Mjengwe na Upendo, 1/1

“Mjifunze Kutoka Kwangu,” 12/15

Msife Moyo Katika Kufanya Lililo Bora, 8/15

Msifuni Yehova kwa Vitendo Vyake Vikubwa! 5/15

Msiwe Wasikiaji Wasahaulifu, 6/15

Mtafuteni Yehova Kabla ya Siku Yake ya Hasira, 2/15

Mwe na Imani kama ya Abrahamu! 8/15

Mwige Yehova Unapowazoeza Watoto Wako, 10/1

Mwongozo wa Mungu Katika Kuchagua Mwenzi wa Ndoa, 5/15

“Neno la Yehova Likaendelea Kukua,” 4/1

Ni Nani Atakayetutenganisha na Upendo wa Mungu? 10/15

Shangilieni kwa Kumjua Yehova, 7/1

Shangilieni Pamoja na Mungu Mwenye Furaha, 5/1

Shiriki Shangwe ya Kutoa! 7/1

Siku ya Hukumu ya Yehova I Karibu! 2/15

Sitawisha Moyo wa Kumhofu Yehova, 12/1

‘Tafuteni Sana Amani na Kuifuatia,’ 9/1

Tazameni Mtekelezaji wa Mambo ya Ajabu! 4/15

Ukristo wa Kweli Washinda! 4/1

Umeifanya Kweli Iwe Mali Yako Mwenyewe? 2/1

Unaishi Kupatana na Wakfu Wako? 2/1

Unaweza Kusaidiaje Mtoto “Mpotevu”? 10/1

Upendo Wako Umepanuka Kadiri Gani? 1/1

Waangalizi na Watumishi wa Huduma Huwekwa Rasmi Kitheokrasi, 1/15

Wale Wanaotembea Katika Nuru Hushangilia, 3/1

Watu wa Yehova Waliorudishwa Wamsifu Duniani Pote, 2/15

Wekeni Akili Juu ya Roho Mkaishi! 3/15

Wokovu kwa Wanaochagua Nuru, 3/1

Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku Zetu, 11/15

Yehova Ni Kimbilio Letu, 11/15

Yehova Ni Mungu Mstahimilivu, 11/1

Zingatia Kazi za Mungu za Ajabu, 4/15

MAMBO MENGINE

‘Afya Kitovuni Pako,’ 2/1

‘Dawa ya Macho ya Kusugua Katika Macho,’ 12/15

Enoki Alitembea Pamoja na Mungu, 9/15

Furaha, 3/1

Habari Njema ya Ufalme, 4/1

“Hatari Ambayo Haijatambuliwa Kuhusu Afya ya Umma” (ponografia katika Internet), 4/15

Ibilisi, 9/1

Inadumu Kuliko Dhahabu, 8/1

Je, Watu Wanaweza Kuungana Kikweli? 9/15

Jinsi ya Kufanikisha Ujana Wako, 8/15

Kanuni Bora Inafaa, 12/1

‘Katika Nuru Yako Twaona Nuru,’ 12/1

Kuteseka, 5/15

Mababa wa Kanisa—Watetezi wa Kweli? 4/15

Madhara ya Vita, 1/1

Maoni Yaliyosawazika Kuhusu Pesa, 6/15

“Mimi Nakata Rufani kwa Kaisari!” 12/15

Miti Inayodumu Muda Mrefu, 7/1

Msingi wa Imani, 8/1

Ni Kitu Gani Chenye Thamani ya Kweli? 9/15

Noa Auhukumu Ulimwengu kwa Imani Yake, 11/15

Origen—Jinsi Mafundisho Yake Yalivyoathiri Kanisa, 7/15

Paradiso ya Kiroho, 3/1

Paulo Apanga Kukusanywa kwa Michango ya Kusaidia, 3/15

Roho Isiyoweza Kufa? 7/15

Somo Kutokana na Mtende, 10/1

‘Tazama! Umati Mkubwa!’ 5/15

Uhai Baada ya Kifo? 7/15

Unaweza Kufanya Ulimwengu Uwe Mahali Bora? 10/15

Unaweza Kutumaini Viwango vya Nani? 6/1

Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli, 10/1

Upasuaji Bila Damu, 3/1

Usalama Katika Ulimwengu Wenye Hatari Nyingi, 2/1

Uwasiliani-Roho, 5/1

Uwe Mwenye Shukrani, Furaha, 9/1

Wahasmonia, 6/15

Wanaoharibu Miti, 11/1

Wasikithe, 11/15

MASHAHIDI WA YEHOVA

Baraza Linaloongoza na Shirika la Kisheria, 1/15

Cheti cha Huduma Bora (Kongo [Kinshasa]), 8/15

Fundi wa Miwani Apanda Mbegu (Ukrainia, Israel), 2/1

Hawakuwa Peke Yao Imani Ilipojaribiwa (damu), 4/15

“Kazi Iliyofanywa kwa Ustadi Mkubwa Sana” (Photo-Drama), 1/15

Kenya, 2/15

Kuhitimu kwa Wanafunzi wa Gileadi 6/15, 12/15

Kusaidiana (wakimbizi wa vita), 4/15

Kuwasaidia Vijana, 7/15

Maji ya Uhai Katika Milima ya Andes, 10/15

Mikusanyiko—Shangwe ya Udugu, 9/15

Mikusanyiko ya “Walimu wa Neno la Mungu,” 2/15

Mikusanyiko ya “Watekelezaji wa Neno la Mungu,” 1/15

Mkutano wa Kila Mwaka 2000, 1/15

Ndiyo Kazi-Maisha Inayokufaa Zaidi? (utumishi wa Betheli), 3/15

“Siku ya Uvumiliano wa Kidini” (shule ya Poland), 11/1

Tunafanya Yote Tuwezayo! (mishonari), 10/15

“Tutaonana Katika Ufalme wa Mungu” (F. Drozg), 11/15

Ufaransa, 8/15, 9/1

Ushindi Dhidi ya Mnyanyaso wa Nazi, 3/15

Ushindi Kwenye Mahakama ya Jimbo (Ujerumani), 8/15

Walikuwa Mbwa-Mwitu—Sasa Ni Kondoo! 9/1

‘Washukuruni Mashahidi kwa Uhuru wa Kidini,’ 5/15

MASIMULIZI YA MAISHA

‘Alivumilia Hadi Mwisho’ (L. Swingle), 7/1

Kuendelea Kufuata Njia ya Yehova (L. Valentino), 5/1

Kukubali Mialiko ya Yehova (M. Zanardi), 12/1

Kushukuru kwa Kumbukumbu Yenye Thamani! (D. Caine), 8/1

Kutumikia kwa Moyo Wote Licha ya Majaribu (R. Lozano), 1/1

Kutumikia Popote Nilipohitajiwa (J. Berry), 2/1

Maisha Yenye Kuthawabisha Katika Utumishi wa Yehova (R. Kurzen), 11/1

Maisha Yenye Mambo Yasiyotazamiwa (E.&H. Beveridge), 10/1

Mwenye Furaha na Shukrani Licha ya Kufiwa (N. Porter), 6/1

Nimetegemezwa na Yehova (F. Lee), 3/1

Nuru Yang’aa Mashariki ya Kati (N. Salem), 9/1

Tulimjaribu Yehova (P. Scribner), 7/1

Tulishirikiana (M. Barry), 4/1

“Yehova Amekuwa Mwema Sana Kwangu!” (K. Klein), 5/1

MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI

Agano la Abrahamu—Lilifanywa Uru au Harani? 11/1

Danieli alikuwa wapi wakati wa jaribu la sanamu ya dhahabu? (Dan 3) 8/1

“Ibada haramu za sanamu” (1 Pet 4:3), 7/15

Kinachomaanishwa na “kuabudu katika roho” (Yn 4:24), 9/15

Kuingia Katika Pumziko la Yehova (Ebr 4:9-11), 10/1

Kwa nini uungame kwa wazee? 6/1

“Mahali Patakatifu Kabisa” palitiwa mafuta lini? (Dan 9:24), 5/15

“Mbingu” [kwa wingi] (2 Pet 3:13) na “mbingu” [kwa umoja] (Ufu 21:1), 6/15

Miti ya sanduku la agano (1 Fal 8:8), 10/15

Mke Mkristo na sherehe za sikukuu, 12/15

Nakala za programu za kompyuta, 2/15

Nyoka aliwasilianaje? 11/15

Tusali kwa ajili ya watu waliotengwa na ushirika? (Yer 7:16), 12/1

Vitu Vyote Viliumbwa “kwa Ajili” ya Yesu? (Kol 1:16), 9/1

Yobu aliteseka muda mrefu kadiri gani? 8/15

RIPOTI YA WATANGAZAJI WA UFALME

2/1, 4/1, 5/1, 6/1, 8/1, 10/1, 12/1

YEHOVA

‘Baraka ya, Hutajirisha,’ 11/1

Kuimarisha Tumaini Katika, 6/1

YESU KRISTO

Ufufuo, 3/15

Yesu Huokoa—Jinsi Gani? 11/15

Yule Yesu Halisi, 12/15

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki