Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w04 10/15 uku. 3
  • Kufuatia Zaidi Vitu vya Kimwili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kufuatia Zaidi Vitu vya Kimwili
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Habari Zinazolingana
  • Wazionaje Mali?
    Kupata Faida Zote za Ujana Wako
  • Nufaika kwa Kufuatia Kanuni za Kiroho
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Maswali Kutoka Kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Jitihada Inayoendelea ya Kutafuta Utengemano Mpya wa Ulimwengu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
w04 10/15 uku. 3

Kufuatia Zaidi Vitu vya Kimwili

“Ikiwa sikuzote tunatamani kuwa na vitu vingi zaidi, hatutatosheka kamwe.”—Ripoti ya taasisi iitwayo Worldwatch Institute.

“TUNATAKA nini? Kila kitu. Lini? Sasa.” Maneno hayo yalitumiwa sana na baadhi ya wanafunzi wa chuo miaka ya 1960. Huenda leo watu wasisikie hasa maneno hayo, lakini wazo la msingi limebaki. Kwa kweli, inaonekana kwamba kufuatia zaidi vitu vya kimwili kumekuwa jambo muhimu katika wakati wetu.

Kwa watu wengi, kupata mali kumekuwa mojawapo ya jambo kuu zaidi maishani. Aliyekuwa Rais wa Marekani, Jimmy Carter alisema hivi wakati mmoja: “Watu hawatambuliwi tena kwa mambo wanayofanya, bali kwa vitu walivyo navyo.” Je, kuna kanuni zenye thamani zaidi kuliko mali zetu? Ikiwa zipo, ni kanuni gani hizo, nazo zinaweza kuwa na manufaa gani?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki