Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w13 2/15 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Vichwa vidogo
  • TOLEO LA FUNZO
  • MAKALA ZA FUNZO
  • PIA KATIKA TOLEO HILI
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
w13 2/15 kur. 1-2

Yaliyomo

Februari 15, 2013

© 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania. All rights reserved.

TOLEO LA FUNZO

APRILI 1-7, 2013

Huu Ni Urithi Wetu wa Kiroho

UKURASA WA 3 • NYIMBO: 69, 28

APRILI 8-14, 2013

Je, Unathamini Urithi Wetu wa Kiroho?

UKURASA WA 8 • NYIMBO: 22, 75

APRILI 15-21, 2013

Kaa Katika Bonde la Yehova la Ulinzi

UKURASA WA 17 • NYIMBO: 133, 16

APRILI 22-28, 2013

Usiruhusu Chochote Kikuzuie Kupata Utukufu

UKURASA WA 25 • NYIMBO: 15, 61

MAKALA ZA FUNZO

▪ Huu Ni Urithi Wetu wa Kiroho

▪ Je, Unathamini Urithi Wetu wa Kiroho?

Mambo muhimu ya urithi mwingi wa kiroho wa watu wa Yehova yamezungumziwa katika makala hizi. Makala hizi zinaonyesha jinsi ambavyo Mungu amelihifadhi Neno lake, amewabariki wanaolitumia jina lake, na amefanya iwezekane kuhifadhi kweli za kiroho zinazotulinda kutokana na uwongo wa kidini.

▪ Kaa Katika Bonde la Yehova la Ulinzi

Makala hii inaeleza ni bonde gani la ulinzi linalotajwa kwenye Zekaria 14:4 na inaonyesha kwa nini tunapaswa kubaki katika bonde hilo. Inaeleza maana ya maji yaliyo hai yanayorejelewa kwenye Zekaria 14:8 na kunywa maji hayo kunaweza kumaanisha nini kwetu.

▪ Usiruhusu Chochote Kikuzuie Kupata Utukufu

Makala hii inaonyesha jinsi tunavyoweza kupata utukufu ambao Yehova huwapa wanadamu. Pia, inaeleza mambo yanayoweza kutuzuia kupata utukufu huo na jinsi jitihada zetu za kuendelea kupata utukufu zinavyoweza kuwasaidia wengine.

PIA KATIKA TOLEO HILI

13 Walinzi wa Mfalme Wahubiriwa

22 Jihadhari na Makusudio ya Moyo

30 Alikuwa wa Familia ya Kayafa

31 Kutoka Katika Hifadhi ya Vitu Vyetu vya Kale

JALADA: Mhubiri huko kaskazini-magharibi mwa Namibia akimhubiria mwanamke Mhimba. Wanawake Wahimba ambao ni wa kabila la wafugaji wa ng’ombe wanaohamahama, hupaka nywele na ngozi zao mchanganyiko unaotia ndani udongo mwekundu unaotokana na mawe yaliyosagwa

NAMIBIA

IDADI YA WATU

2,373,000

WAHUBIRI

2,040

MAFUNZO YA BIBLIA

4,192

[Grafu katika ukurasa wa 2]

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki